QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

MKUU LEGE, nimekuwa kimya kwa muda wote wa kusoma simulizi hii kwa kweli ni nzuri nakiri hilo nakisema wewe ni kifaa cha burudani mkuu BIG UP sana
 
nasubiri ifike mbali kidogo, maumivu ya kusubiri yanatesa sana
 
acha niendelee kusubiri maana hakuna namna, nimeshakuwa teja wa hii kitu
 
Naweka makazi ya kudumu kwenye huu uzi🙂🙂
 
LEGE tunakusubiri ushushe mzigo wa kutosha tukeshe nao, kesho weekend tunalala tu.
 
Back
Top Bottom