Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
HahahahhahhCheki huyu wa chini yako anakurupuka anajua kawahi,
Kumbe hili duka la ushirika kuna watu wapo toka juzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahhahhCheki huyu wa chini yako anakurupuka anajua kawahi,
Kumbe hili duka la ushirika kuna watu wapo toka juzi
Kwenye kipindi kigumu kama hika, wewe umeweka pozi la raha, si uchuro huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahhahh
lazma atoe chief ata kwa kubakwangoja tuone kama kuna mkate mgumu kwenye chai...
monica si mbishi kutoa penzi holela...hasa mtego wa bil.270 kutoka kwa zuma david.......???..hatoki...
raha jipe mwenywe [emoji23]Kwenye kipindi kigumu kama hika, wewe umeweka pozi la raha, si uchuro huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .....kuna wanaume wenzetu wanajua kushawishi bhana....lazma atoe chief ata kwa kubakwa
acha chief kuna wanaume wanajua kuroga kizungu hawatoki tena huyo mama monica na ubishi wake hapo kapatikana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .....kuna wanaume wenzetu wanajua kushawishi bhana....
yaani ...!!..na kweli hatoki...mr&mrs mwasomole sjui...nao wakitia pua tuu....
wanakandamiziwa mzigo kuongezea mtaji wao....na mama ake monnie anaonekana mmama wa dot com....
na usikute atamwambia mwanae aolewe na huyo dav zoma....[emoji1] [emoji1]acha chief kuna wanaume wanajua kuroga kizungu hawatoki tena huyo mama monica na ubishi wake hapo kapatikana
lazima amwambie [emoji23]na usikute atamwambia mwanae aolewe na huyo dav zoma....[emoji1] [emoji1]
hadi hapo Zumo lazima ale mzigo kwa msaada wa mama Monica, uchawi wa kizungu ni noma.na usikute atamwambia mwanae aolewe na huyo dav zoma....[emoji1] [emoji1]
Mkuu mie mlevi sana wa mambo haya! Ukinkatisha "nakuchukia tu"...masna hakuna namna!inawezekana kabisa, ila tutarajie mengi makubwa, kwahiyo Dr. Marcelo hana chake, dah!!
SIJAWAHI BANDIKA STORY HIYO MKUU LAKINI NISHAWAHI ISOMA NA NINACHOKITABU CHAKE. LABDA USEME NIKUFANYIE MCHAKATO NA WW UKIPATE MAANA NIPO JIKONI VINAKOPIKWA VITABU VYA HUSSEIN ISSA TUWA bingwa wa riwaya za taharukiLege mkuu ulituacha porini na
MTUHUMIWA
UMEPITA KA BODABODA ANAEPITA DUKANI ANAKODAIWA,SIJAWAHI BANDIKA STORY HIYO MKUU LAKINI NISHAWAHI ISOMA NA NINACHOKITABU CHAKE. LABDA USEME NIKUFANYIE MCHAKATO NA WW UKIPATE MAANA NIPO JIKONI VINAKOPIKWA VITABU VYA HUSSEIN ISSA TUWA bingwa wa riwaya za taharuki
Niseme tu Lege hicho kitabu kama kinapatikana niko tayari nikipate kwahiyo nifanyie mchakato mkuu wewe mwenyewe unajuaga Uraibu wa hii kitu sasa mimi nao zaidi ya miaka 13 kwa hii story ya mtuhumiwaSIJAWAHI BANDIKA STORY HIYO MKUU LAKINI NISHAWAHI ISOMA NA NINACHOKITABU CHAKE. LABDA USEME NIKUFANYIE MCHAKATO NA WW UKIPATE MAANA NIPO JIKONI VINAKOPIKWA VITABU VYA HUSSEIN ISSA TUWA bingwa wa riwaya za taharuki