QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

ngoja tuone kama kuna mkate mgumu kwenye chai...
monica si mbishi kutoa penzi holela...hasa mtego wa bil.270 kutoka kwa zuma david.......???..hatoki...
 
Isiwe kama peniella anagawa papuchi mwanzo mwisho hadi inaboa bafala ya kunyegesha
 
lazma atoe chief ata kwa kubakwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .....kuna wanaume wenzetu wanajua kushawishi bhana....
yaani ...!!..na kweli hatoki...mr&mrs mwasomole sjui...nao wakitia pua tuu....
wanakandamiziwa mzigo kuongezea mtaji wao....na mama ake monnie anaonekana mmama wa dot com....
 
acha chief kuna wanaume wanajua kuroga kizungu hawatoki tena huyo mama monica na ubishi wake hapo kapatikana
 
inawezekana kabisa, ila tutarajie mengi makubwa, kwahiyo Dr. Marcelo hana chake, dah!!
Mkuu mie mlevi sana wa mambo haya! Ukinkatisha "nakuchukia tu"...masna hakuna namna!

Ndo maana ujio wa LEGE nimeuona mzuri sanaa!..Asante LEGE siyo kwa utam huu!

kule kwa kipepeo mweusi nipogo japo kiroho ngumu tu!
 
Lege mkuu ulituacha porini na
MTUHUMIWA
SIJAWAHI BANDIKA STORY HIYO MKUU LAKINI NISHAWAHI ISOMA NA NINACHOKITABU CHAKE. LABDA USEME NIKUFANYIE MCHAKATO NA WW UKIPATE MAANA NIPO JIKONI VINAKOPIKWA VITABU VYA HUSSEIN ISSA TUWA bingwa wa riwaya za taharuki
 
UMEPITA KA BODABODA ANAEPITA DUKANI ANAKODAIWA,

TABIA ZA MATEJA BHANA, UNAWEZA KIMBANA NAE KANISANI AU MSIKITINI AKAKUMBA KETE[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NIKIVOONA AVART YA KIJANI TUU TENA LEGE
SIKUJALI NIKOMAZINGIRA NIKAJIKUTA NAJUA TAYARI MZIGO UPOO
 
SIJAWAHI BANDIKA STORY HIYO MKUU LAKINI NISHAWAHI ISOMA NA NINACHOKITABU CHAKE. LABDA USEME NIKUFANYIE MCHAKATO NA WW UKIPATE MAANA NIPO JIKONI VINAKOPIKWA VITABU VYA HUSSEIN ISSA TUWA bingwa wa riwaya za taharuki
Niseme tu Lege hicho kitabu kama kinapatikana niko tayari nikipate kwahiyo nifanyie mchakato mkuu wewe mwenyewe unajuaga Uraibu wa hii kitu sasa mimi nao zaidi ya miaka 13 kwa hii story ya mtuhumiwa
 
Huyu jamaa inabidi tumuombee sana, majanga yanamuandama kila kukicha, yanasababisha tunakosa burudani. Team simulizi wote tumuombee LEGE
 
Back
Top Bottom