QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Screenshot_20170421-190508.png
 
Hahahaha mkuu vipi swalama lakini.nilikuwa mbali sanaaaa na vitendea kazi.so now sio mda nafanya mambo mkuu ngoja watu waswali kwanza
We jamaa unafanya mambo ya kitoto,kama huwezi tuambie ni kwa namna gani tunaweza kupata
 
We jamaa unafanya mambo ya kitoto,kama huwezi tuambie ni kwa namna gani tunaweza kupata
Ya kitoto mno mkuu
Hakuna serious man eti yupo bize anayeweza fanya hivi watu hamjang'amua tu
Mi mwenyewe nipo bize kishenzi
Bit not this way kama jamaa anavyojielezeaga
 
Naona watu mnakuwa n hasira sana hivi kweli mtu usawa huu wa magufuri uache kufanya kazi ili mkono usogee kinywani ubandike story hapa jukwaani?r ni swala la kujitolea tuu kupeana burudani.ningekuwa na fikira kama mnazofikilia nyie nilikuwa na haja gani kuibandika hapa? Vichupa ninavyo vya kutosha sema ndio hivyo mda si rafiki kwangu. Now nabandika bandua season 3 mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom