QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Kiongozi tafadhari fanya kama vile umejisahau tupia walau sehemu 9 nyingine huyu mkuu Lege sidhani kama anafikiria kuja kufanya tena hii kitu tana hapa
Ndio niniii hivyo umejisikiaje sasa bada ya kuquote
 
Anachokifanya rais ernest ni sawa anachokifanya magufuli ni ngumu sana kupambana na mfumo uliokuweka madarakani-hasa pale unapojikuta kuwa wewe ndio mhusika Mkuu kuna ule msemo wa kiingereza unasema I AM THEM .
kwa hatua za awali unaweza dhania utafanikiwa lakini unakuja kusutukia kuna kitu unachokipenda zaidi kinakukwamisha mfano kwa rais ernest upendo wake kwa Monalisa na uhusika wake wa madawa ya kulevya unamkwamisha kila kitu
 
Mmmhhhhhh
 
Kweli mkuu
Naungana na wewe, kwa wale tunaoisoma hii stori, ukafananisha na yanayoendelea hapa nchini, utagundua kabisaaaaa mtu kama willy anahitajika mnoo.

Ernest anafanana kabisaaaaa na JPM tunaoifuatilia hii stori na kufuatiria yanayoendelea, hapo ndio utajua ugumu anaoupitia Magufuri
 
Back
Top Bottom