..Ningeweza kuiweka story maana nimenunua...lakni so vizuri tumchangie mshikaji Efu tatu{3000} ambapo naona reasonable price mtu yeyote humu anaweza ku afford kutoa.
Me cwez ku afford kweli vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Ningeweza kuiweka story maana nimenunua...lakni so vizuri tumchangie mshikaji Efu tatu{3000} ambapo naona reasonable price mtu yeyote humu anaweza ku afford kutoa.
Lege ndo mwenye right ya kuleta story apo maana story ipo protected na si mbaya kuchangia kidogo kwan tunamwezesha uyu jamaa na nna uhakika lege na mwandishi walikuwa na makubaliano haya kwamba ikifika kwenye utam jamaa achelewe kuweka ili tumchangie kwanza jamaaa sasa ivi ataweka maana kaishaonekana mm ngoja nisubir season 7 maana nshamchangia
Ni kweli mkuu ukienda kinyume unaweza kukuta unalipishwa maela mengi ila nna uhakika atamruhusu lege abandike mzigo season 7 ikiwa tyr ataruhusu 6 iwekwe hapaKwakuwa mtunzi ameshajua, sisi wengine ameshazijua namba zetu za simu, majina yetu, WhatsApp accounts zetu na ID za hapa JF ni vigumu kukiuka masharti yake tena.
Ni kweliNi kweli mkuu ukienda kinyume unaweza kukuta unalipishwa maela mengi ila nna uhakika atamruhusu lege abandike mzigo season 7 ikiwa tyr ataruhusu 6 iwekwe hapa
Wanaotaka kutelezaa wazidi kuwa wavumilivu cc tunasubiri season 7Ni kweli mkuu ukienda kinyume unaweza kukuta unalipishwa maela mengi ila nna uhakika atamruhusu lege abandike mzigo season 7 ikiwa tyr ataruhusu 6 iwekwe hapa
[emoji15] [emoji15]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Atakae ona tunafaa kusoma humu atatuma asiyetaka aache,so msitutishe sana hata mkisoma zote someni tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Atakae ona tunafaa kusoma humu atatuma asiyetaka aache,so msitutishe sana hata mkisoma zote someni tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Atakae ona tunafaa kusoma humu atatuma asiyetaka aache,so msitutishe sana hata mkisoma zote someni tu
Nmescreenshots mkuu. Ntaendelea mida ya wanga in lege's voice [emoji2] [emoji2]Atakae ona tunafaa kusoma humu atatuma asiyetaka aache,so msitutishe sana hata mkisoma zote someni tu
Kwel wewe ni muke ya mutu... wewe ushanunua.. tutupie tusome... kama watu wanavyo... wasitusumbue sisi... wengine ujira wetu mdogoNmescreenshots mkuu. Ntaendelea mida ya wanga in lege's voice [emoji2] [emoji2]
Afu iliishia jengo limelipuka.. naona huko mbali upoNmescreenshots mkuu. Ntaendelea mida ya wanga in lege's voice [emoji2] [emoji2]