muke ya mtu
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 295
- 186
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pm ur no na yeyote atakaeNaomba nitumie whatsapp
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Mkuu huna haki ya kumtumia kama mwandishi hajakuruhusu[emoji134] [emoji134]Ni pm ur no na yeyote atakae
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Acha roho mbaya.. wakurya hatuna roho hyoMkuu huna haki ya kumtumia kama mwandishi hajakuruhusu[emoji134] [emoji134]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ndugu yangu Lege ndo haitakuwepo tena Mkuu ?Sio kweli mkuu ukisemacho bali kujua kwingi mbele kiza..nishaweka peniela humu hakuna aliyelipia hata shilingi 5 lkn kwenye hii story ya queen monica watu wameleta ujuaji mwingi sana.mwishowe imekuwa shida nilikuwa naweka angalizo mara nyingi kuwa wakienda jikoni wasiseme mambo ya huku jf kuwa ipo.
Mwishowe haya ndio matokeo yake.wanajiona kama wajanja lkn ndio wametuharibia.
Aisee mbona unamega kidogo kidogo sana Mkuu ?Natamani sana watu wote tusome hii kitu. Ila basi tu
Lege alipokua anatuma wala ulikua uleti hayo matapishi yakoMkuu huna haki ya kumtumia kama mwandishi hajakuruhusu[emoji134] [emoji134]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Mkuu haiwezekani kwa kuwa mm ndiye nilianzisha huu uzi lazima niumalize nimeacha kwanza wenye vifront front na wajuzi zaidi wamalize kupiga kelele zao then nibwage mzigo wote mwanzo mwisho.kwa kuwa wao wapo kwenye folen wanasubili season 7 wakati mm ninayo mkononi hapa..wacha wakishauziwa season 7 mm nakuja kumalizaKwa hiyo ndugu yangu Lege ndo haitakuwepo tena Mkuu ?
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Umeona mkuu na sio kwamba mm nilishindwa kusoma alone then nikapiga kimyaa hapana.bali kuna raha yake kusoma story jf uelewa tunatofautiana,kutafsiri na upeo pia ni tofauti tuna share mambo mengi so ni zaidi ya darasa na chuo..mkuu LEGE naomba uimalizie hii story achana na hao vimbelembele sio kwamba tunashindwa kulipa hiyo hela ila tunapenda tusome humu ili tuwe tunafurahi na wengine
[emoji16] [emoji109] [emoji109] ndiyo mkuu mwaga hiyo kitu mida ya night kesho blue mondayMkuu haiwezekani kwa kuwa mm ndiye nilianzisha huu uzi lazima niumalize nimeacha kwanza wenye vifront front na wajuzi zaidi wamalize kupiga kelele zao then nibwage mzigo wote mwanzo mwisho.kwa kuwa wao wapo kwenye folen wanasubili season 7 wakati mm ninayo mkononi hapa..wacha wakishauziwa season 7 mm nakuja kumaliza
Nakukubali sana mkuu lege,umenena vyemaUmeona mkuu na sio kwamba mm nilishindwa kusoma alone then nikapiga kimyaa hapana.bali kuna raha yake kusoma story jf uelewa tunatofautiana,kutafsiri na upeo pia ni tofauti tuna share mambo mengi so ni zaidi ya darasa na chuo..
Hata wale walio kuwa wanalalamika.leo hii wanashindwa kutupia mzigo hapa wanaishia.kusoma wenyewe alone..buku 3 kitu gani bwana.mm nilikuwa some times naacha.kufanya shughuli zangu nakomaa kuweka story hapa ili tubuludike wote.
Sawa Mkuu tutashukuru sanaMkuu haiwezekani kwa kuwa mm ndiye nilianzisha huu uzi lazima niumalize nimeacha kwanza wenye vifront front na wajuzi zaidi wamalize kupiga kelele zao then nibwage mzigo wote mwanzo mwisho.kwa kuwa wao wapo kwenye folen wanasubili season 7 wakati mm ninayo mkononi hapa..wacha wakishauziwa season 7 mm nakuja kumaliza
Km IPO whtsapp copy harafu pest jf ,inawezekanaNatamani sana watu wote tusome hii kitu. Ila basi tu