QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

54df340ef21fdd936cdde3036976a056.jpg

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huna haki ya kumtumia kama mwandishi hajakuruhusu[emoji134] [emoji134]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Acha roho mbaya.. wakurya hatuna roho hyo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli mkuu ukisemacho bali kujua kwingi mbele kiza..nishaweka peniela humu hakuna aliyelipia hata shilingi 5 lkn kwenye hii story ya queen monica watu wameleta ujuaji mwingi sana.mwishowe imekuwa shida nilikuwa naweka angalizo mara nyingi kuwa wakienda jikoni wasiseme mambo ya huku jf kuwa ipo.

Mwishowe haya ndio matokeo yake.wanajiona kama wajanja lkn ndio wametuharibia.
Kwa hiyo ndugu yangu Lege ndo haitakuwepo tena Mkuu ?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huna haki ya kumtumia kama mwandishi hajakuruhusu[emoji134] [emoji134]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Lege alipokua anatuma wala ulikua uleti hayo matapishi yako

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ndugu yangu Lege ndo haitakuwepo tena Mkuu ?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Mkuu haiwezekani kwa kuwa mm ndiye nilianzisha huu uzi lazima niumalize nimeacha kwanza wenye vifront front na wajuzi zaidi wamalize kupiga kelele zao then nibwage mzigo wote mwanzo mwisho.kwa kuwa wao wapo kwenye folen wanasubili season 7 wakati mm ninayo mkononi hapa..wacha wakishauziwa season 7 mm nakuja kumaliza
 
mkuu LEGE naomba uimalizie hii story achana na hao vimbelembele sio kwamba tunashindwa kulipa hiyo hela ila tunapenda tusome humu ili tuwe tunafurahi na wengine
Umeona mkuu na sio kwamba mm nilishindwa kusoma alone then nikapiga kimyaa hapana.bali kuna raha yake kusoma story jf uelewa tunatofautiana,kutafsiri na upeo pia ni tofauti tuna share mambo mengi so ni zaidi ya darasa na chuo..

Hata wale walio kuwa wanalalamika.leo hii wanashindwa kutupia mzigo hapa wanaishia.kusoma wenyewe alone..buku 3 kitu gani bwana.mm nilikuwa some times naacha.kufanya shughuli zangu nakomaa kuweka story hapa ili tubuludike wote.
 
Mkuu haiwezekani kwa kuwa mm ndiye nilianzisha huu uzi lazima niumalize nimeacha kwanza wenye vifront front na wajuzi zaidi wamalize kupiga kelele zao then nibwage mzigo wote mwanzo mwisho.kwa kuwa wao wapo kwenye folen wanasubili season 7 wakati mm ninayo mkononi hapa..wacha wakishauziwa season 7 mm nakuja kumaliza
[emoji16] [emoji109] [emoji109] ndiyo mkuu mwaga hiyo kitu mida ya night kesho blue monday

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Umeona mkuu na sio kwamba mm nilishindwa kusoma alone then nikapiga kimyaa hapana.bali kuna raha yake kusoma story jf uelewa tunatofautiana,kutafsiri na upeo pia ni tofauti tuna share mambo mengi so ni zaidi ya darasa na chuo..

Hata wale walio kuwa wanalalamika.leo hii wanashindwa kutupia mzigo hapa wanaishia.kusoma wenyewe alone..buku 3 kitu gani bwana.mm nilikuwa some times naacha.kufanya shughuli zangu nakomaa kuweka story hapa ili tubuludike wote.
Nakukubali sana mkuu lege,umenena vyema

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu haiwezekani kwa kuwa mm ndiye nilianzisha huu uzi lazima niumalize nimeacha kwanza wenye vifront front na wajuzi zaidi wamalize kupiga kelele zao then nibwage mzigo wote mwanzo mwisho.kwa kuwa wao wapo kwenye folen wanasubili season 7 wakati mm ninayo mkononi hapa..wacha wakishauziwa season 7 mm nakuja kumaliza
Sawa Mkuu tutashukuru sana
 
Mkuu lege tupia madude mkuu

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Back
Top Bottom