Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

Hata kusuka haitakiwi.

Kupendeza ni kuwa na TABIA njema, huruma ,Upendo, uchapa KAZI, maono,nk nk nk.

Kujipaka mikorogo, kuvaa mawigi,kuweka makucha marefu kama jini, kuweka kope bandia, kuvaa hovyo Si kupendeza, ni IBADA ya sanamu.

Usirudie tena kumpangia mke wa mtu mwonekano wake !
 
Ukiwa hadharani wewe ni wetu na muonekano wake ni kwa ridhaa ya anotutumikia.
Full stop.
La sivyo mume wake amfugie nyumbani
 
Ila humu watu sio wa kuwaamini [emoji23][emoji23]nasoma comments nacheka yaani leo wababa wa humu mnapenda twende kilioni ila ukitoka nje huko mambo ni tofauti kabisa.
🤣🤣
 
Ila humu watu sio wa kuwaamini nasoma comments nacheka yaani leo wababa wa humu mnapenda twende kilioni ila ukitoka nje huko mambo ni

Ila humu watu sio wa kuwaamini [emoji23][emoji23]nasoma comments nacheka yaani leo wababa wa humu mnapenda twende kilioni ila ukitoka nje huko mambo ni tofauti kabisa.
Niamini mimi bhana , kuna kiukwel fulani ivi ata kama ni kidogo😊😊
 
Mimi napenda zipendeze huduma anazosimamia na sio yeye ,kupendeza kwake binafsi jamii inanifaikaje
 
Ila humu watu sio wa kuwaamini [emoji23][emoji23]nasoma comments nacheka yaani leo wababa wa humu mnapenda twende kilioni ila ukitoka nje huko mambo ni tofauti kabisa.
Alafu umebadili picha ukapotea kabisa🤔
 
Kwanza jina lake linavutia bila shaka linawakilisha uhalisia wake, bigup mdada
 
Pengine ni maelekezo huwezi kujua
 
Je umewahi kumwambia kiongozi wa kiume apendeze? Yeye yupo pale kufanya kazi za kuhudumia wananchi siyo kufurahisha macho ya wanaomtizama.
 
Ukilitumikia taifa kisiasa, hakuna maisha binafsi.
Wasirra alipo changanya vifungo vya suti alichanwa live hapa mtandaoni.
 
Je umewahi kumwambia kiongozi wa kiume apendeze? Yeye yupo pale kufanya kazi za kuhudumia wananchi siyo kufurahisha macho ya wanaomtizama.
Pengine we mgeni JF.
Wassirra tulimchana alipo pishanisha vifungo vya suti.
 
Mijitu mingine ina akili za kutosha kwenda haja tu... pengien hata kunawa vizuri haiwezi. Nchi ina matatizo makubwa lakini unakuta jitu linafanya utani wa kijinga muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…