"Kweli isiyo na shaka" sio big issue ya kukifanya kiwe special. Hata kitabu cha Mathematics book 2 nacho ni kweli isiyo na shaka.
Kwaiyooo adamu kasilimu auMpaka sasa Adam hajasilimu,tunakubaliana??
HakinA shaka vip yaaanInaonekana hujui hata hesabu. Ninachokiandika hapa namaanisha, hakuna kitabu sahihi na kisichokuwa na shaka kuzidi Qur'an katika vitabu vyote unavyo vijua wewe.
Hicho kitabu unachokisema tukikiweka kwenye mizani hakina ukweli wowote zaidi ya makubaliano ya Wana hesabu na makisio mengi.
Huwa nawaambia hakikisheni mnakijua mnachokojadili.
Samahani naomba uniletee usahihi wake kwenye nyanja zifuatazo:hakuna kitabu sahihi na kisichokuwa na shaka kuzidi Qur'an katika vitabu vyote unavyo vijua wewe.
Kusilimu ni kufanyaje.?Mpaka sasa Adam hajasilimu,tunakubaliana??
Ndio vinini hivyo?1. Qur'an
2. Al Bidaya wa an-Nihaya
3. Al Kaamil fi Tarekh
Rejea hivyo vitabu utaona.
Namimi inaonekana hujanielewa.Inaonekana hujui hata hesabu. Ninachokiandika hapa namaanisha, hakuna kitabu sahihi na kisichokuwa na shaka kuzidi Qur'an katika vitabu vyote unavyo vijua wewe.
Hicho kitabu unachokisema tukikiweka kwenye mizani hakina ukweli wowote zaidi ya makubaliano ya Wana hesabu na makisio mengi.
Huwa nawaambia hakikisheni mnakijua mnachokojadili.
Qur an ni kitabu kinacho elezea mambo yote ya sayansi kabla ya wavumbuzi kuzaliwa na ndio maisha tunayo ishi hasa kwanini tusiamini.
HakinA shaka vip yaaan
Kama hivyo ndivyo kwa nini unataka quran i present scientific of cloud theory??? Wako mtiifuCan your science prove death?...... Its only the Qur"an that can prove death ndo maana nasema Quran iko above sayansi.
Ndio vinini hivyo?
Umeuliza swali gani ?
Hakuna kitu ambacho hakina shaka kama mungu tuu tunamasha nae kama yupo au sembuse quruan hujielewiiKitu kinapo kuwa hakina shaka, huwa unaelewa nini ?
Namimi inaonekana hujanielewa.
Nimesema Quran kuwa sahihi sio jambo la kushangaza kwasababu hata kitabu tu cha Hisabati ya form 2 hakina shaka.
Hoja yako kuhusu makubaliano ni ya kijinga kwasababu makubaliano ya watu hayabatilishi ukweli.
Kuna mengi ni ya kweli tunayaishi ambayo ni matokeo ya makubaliano ya watu.
Hata wewe ume-propose kukipima kitabu kupitia mzani ambayo ni dhana iliyoundwa kwa matokeo ya makubaliano ya watu.
Hata hii Jamiiforums unayotumia ni matokeo ya makubaliano ya watu.
Muislamu wa kwanza si ni Mohamedi sasa adamu anaujuaa uislamu kupitia nn na Quran alishushiwa mudiKatika umma wake
Hivyo ulivyoviandika ni vitu gani?
Hakuna kitu ambacho hakina shaka kama mungu tuu tunamasha nae kama yupo au sembuse quruan hujielewii
Kama tunamashak tuu na mungu sasa hiyoo quruan kwann isiwe na shakaKutokuwa na shaka ni jambo kubwa sana, na ni miongoni mwa sababu zinazo fanya ikawa tofauti na vitabu vingine.
Unaposema kitabu Cha hesabu book 2 hakina shaka, kwa Kil chomp au kwa nakshi na mapambo mengine ? Kama kwa kilichomo hili najua huwezi kulithibitisha mpaka unakufa, na ndio kitu ulicho maanisha bila shaka.
Bali yanaweza kufanya uongo ukaonekana kuwa ni ukweli. Inaonekana unakurupuka sana katika kufikiri. Makubaliano ya watu wangapi yanaonekana kuwa kweli leo hii. Hivi huwa unajishughulisha na mambo ya kielimu ? Laws ngapi na theory ngapi za kisayansi zinaonekana ni za kweli lakini kiuhalisia ni uongo ?
Katika mada husika huwezi kuthibitisha hilo.
Unaweza kuniambia hayo makubaliano yaliyo fikiwa ni kwa dhana ? Hakikisha unachokiandika unakijua na kuweza kujitetea.
Kingine hakikisha unajua tofauti ya dhana na hakika, ninayo kuandika ni hakika na hakuna dhana.
Jimite kwenye mada na muktadha husika. Unaweza ukatoa mfano sahihi katika mahala usipo husika mfano huo na kuondoa maana.
Ongeza umakini.