Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

"Kweli isiyo na shaka" sio big issue ya kukifanya kiwe special. Hata kitabu cha Mathematics book 2 nacho ni kweli isiyo na shaka.

Inaonekana hujui hata hesabu. Ninachokiandika hapa namaanisha, hakuna kitabu sahihi na kisichokuwa na shaka kuzidi Qur'an katika vitabu vyote unavyo vijua wewe.

Hicho kitabu unachokisema tukikiweka kwenye mizani hakina ukweli wowote zaidi ya makubaliano ya Wana hesabu na makisio mengi.

Huwa nawaambia hakikisheni mnakijua mnachokojadili.
 
HakinA shaka vip yaaan
 
hakuna kitabu sahihi na kisichokuwa na shaka kuzidi Qur'an katika vitabu vyote unavyo vijua wewe.
Samahani naomba uniletee usahihi wake kwenye nyanja zifuatazo:

a)Uchumi

b)Siasa

c)Elimu

d)Kijamii na kiutamaduni

e) Sayansi

f)Teknolojia

g)Afya

Nb: Ushahidi yakinifu na siyo kuunganisha nukta.
 
Inaonekana hujui hata hesabu. Ninachokiandika hapa namaanisha, hakuna kitabu sahihi na kisichokuwa na shaka kuzidi Qur'an katika vitabu vyote unavyo vijua wewe.

Hicho kitabu unachokisema tukikiweka kwenye mizani hakina ukweli wowote zaidi ya makubaliano ya Wana hesabu na makisio mengi.

Huwa nawaambia hakikisheni mnakijua mnachokojadili.
Namimi inaonekana hujanielewa.

Nimesema Quran kuwa sahihi sio jambo la kushangaza kwasababu hata kitabu tu cha Hisabati ya form 2 hakina shaka.

Hoja yako kuhusu makubaliano ni ya kijinga kwasababu makubaliano ya watu hayabatilishi ukweli.

Kuna mengi ni ya kweli tunayaishi ambayo ni matokeo ya makubaliano ya watu.

Hata wewe ume-propose kukipima kitabu kupitia mzani ambayo ni dhana iliyoundwa kwa matokeo ya makubaliano ya watu.

Hata hii Jamiiforums unayotumia ni matokeo ya makubaliano ya watu.
 
Kuna sehemu nilisoma eti mungu wa waislamu aliumba binadamu kwa kutumia manii, sasa sijui kama alipiga nyeto au.
Kioja kingine eti Mohamed aliugawanya mwezi
 
Namimi inaonekana hujanielewa.

Nimesema Quran kuwa sahihi sio jambo la kushangaza kwasababu hata kitabu tu cha Hisabati ya form 2 hakina shaka.

Kutokuwa na shaka ni jambo kubwa sana, na ni miongoni mwa sababu zinazo fanya ikawa tofauti na vitabu vingine.

Unaposema kitabu Cha hesabu book 2 hakina shaka, kwa Kil chomp au kwa nakshi na mapambo mengine ? Kama kwa kilichomo hili najua huwezi kulithibitisha mpaka unakufa, na ndio kitu ulicho maanisha bila shaka.
Hoja yako kuhusu makubaliano ni ya kijinga kwasababu makubaliano ya watu hayabatilishi ukweli.

Bali yanaweza kufanya uongo ukaonekana kuwa ni ukweli. Inaonekana unakurupuka sana katika kufikiri. Makubaliano ya watu wangapi yanaonekana kuwa kweli leo hii. Hivi huwa unajishughulisha na mambo ya kielimu ? Laws ngapi na theory ngapi za kisayansi zinaonekana ni za kweli lakini kiuhalisia ni uongo ?
Kuna mengi ni ya kweli tunayaishi ambayo ni matokeo ya makubaliano ya watu.

Katika mada husika huwezi kuthibitisha hilo.
Hata wewe ume-propose kukipima kitabu kupitia mzani ambayo ni dhana iliyoundwa kwa matokeo ya makubaliano ya watu.

Unaweza kuniambia hayo makubaliano yaliyo fikiwa ni kwa dhana ? Hakikisha unachokiandika unakijua na kuweza kujitetea.

Kingine hakikisha unajua tofauti ya dhana na hakika, ninayo kuandika ni hakika na hakuna dhana.
Hata hii Jamiiforums unayotumia ni matokeo ya makubaliano ya watu.

Jimite kwenye mada na muktadha husika. Unaweza ukatoa mfano sahihi katika mahala usipo husika mfano huo na kuondoa maana.

Ongeza umakini.
 
Hakuna kitu ambacho hakina shaka kama mungu tuu tunamasha nae kama yupo au sembuse quruan hujielewii

Kuwa na mashaka nae haimaanishi ni shaka kweli, mara nyingi ni ujinga na uvivu wa kutaka kujua, kumbuka hapa naongelea dhati ya kitu chenyewe sio wewe unavyo kiona, elewe manebo.

Uwepo wa Mola Hauna mashaka kadhalika vitabu vyake havina mashaka. Sasa jua kutofautisha.
 
Kutokuwa na shaka ni jambo kubwa sana, na ni miongoni mwa sababu zinazo fanya ikawa tofauti na vitabu vingine.

Unaposema kitabu Cha hesabu book 2 hakina shaka, kwa Kil chomp au kwa nakshi na mapambo mengine ? Kama kwa kilichomo hili najua huwezi kulithibitisha mpaka unakufa, na ndio kitu ulicho maanisha bila shaka.

Bali yanaweza kufanya uongo ukaonekana kuwa ni ukweli. Inaonekana unakurupuka sana katika kufikiri. Makubaliano ya watu wangapi yanaonekana kuwa kweli leo hii. Hivi huwa unajishughulisha na mambo ya kielimu ? Laws ngapi na theory ngapi za kisayansi zinaonekana ni za kweli lakini kiuhalisia ni uongo ?

Katika mada husika huwezi kuthibitisha hilo.

Unaweza kuniambia hayo makubaliano yaliyo fikiwa ni kwa dhana ? Hakikisha unachokiandika unakijua na kuweza kujitetea.

Kingine hakikisha unajua tofauti ya dhana na hakika, ninayo kuandika ni hakika na hakuna dhana.

Jimite kwenye mada na muktadha husika. Unaweza ukatoa mfano sahihi katika mahala usipo husika mfano huo na kuondoa maana.

Ongeza umakini.
Kama tunamashak tuu na mungu sasa hiyoo quruan kwann isiwe na shaka
 
Back
Top Bottom