Kutokuwa na shaka ni jambo kubwa sana, na ni miongoni mwa sababu zinazo fanya ikawa tofauti na vitabu vingine.
Unaposema kitabu Cha hesabu book 2 hakina shaka, kwa Kil chomp au kwa nakshi na mapambo mengine ? Kama kwa kilichomo hili najua huwezi kulithibitisha mpaka unakufa, na ndio kitu ulicho maanisha bila shaka.
Bali yanaweza kufanya uongo ukaonekana kuwa ni ukweli. Inaonekana unakurupuka sana katika kufikiri. Makubaliano ya watu wangapi yanaonekana kuwa kweli leo hii. Hivi huwa unajishughulisha na mambo ya kielimu ? Laws ngapi na theory ngapi za kisayansi zinaonekana ni za kweli lakini kiuhalisia ni uongo ?
Katika mada husika huwezi kuthibitisha hilo.
Unaweza kuniambia hayo makubaliano yaliyo fikiwa ni kwa dhana ? Hakikisha unachokiandika unakijua na kuweza kujitetea.
Kingine hakikisha unajua tofauti ya dhana na hakika, ninayo kuandika ni hakika na hakuna dhana.
Jimite kwenye mada na muktadha husika. Unaweza ukatoa mfano sahihi katika mahala usipo husika mfano huo na kuondoa maana.
Ongeza umakini.