Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya hizo nguzo na Adam nani alitanguliaNaam! Taratibu umeanza kutumia akili na siyo mahaba!
1:Mpaka sasa Adam hajatekeleza mojawapo ya nguzo kuu ya dini si ndiyo??
2: Bado unaamini alikuwa muislamu??
3: Je,unakubali hizo nguzo kuu tano na za imani alianza kutumia mtume??
4:Je,Mungu alitumia kigezo gani kumpa mtume hizo nguzo na kuwasahau mitume wengine hata nguzo moja??
5:Ukitumia akili yako vizuri huoni kuwa uislamu ulianza wakati wa mtume?? Fuatilia vizuri historia ya mtume!
Ni adamuKati ya hizo nguzo na Adam nani alitangulia
Unahisi kwanini walimpinga wakati walikuwa waislamu(?) au wakati huo Quran haikuwepo??Hao waarab (Makuraishi) walikuwa wa kwanza kumpinga mtume mpaka Baba zake wadogo walimpinga.
Mimi sifahamu coz uislamu una nguzo kuu tano halafu Adam na wenzake kasoro mtume hawakufanya hata nguzo moja!Kati ya hizo nguzo na Adam nani alitangulia
Nipe hiyo historical record inayoonesha hivyo halafu niwekee na chanzo chakeHakuna dini kongwe kuzidi UISLAMU.
Lakin hiyo si inazungumzia kiamaQur an 099 "The earthquake"
When the earth is shaken with it's (final) earthquake
And the earth discharges it's burdens
And man says "what is (wrong with it)
That day, it will report it's news
Because ur lord has commanded it ........ "To the end"
"Kweli isiyo na shaka" sio big issue ya kukifanya kiwe special. Hata kitabu cha Mathematics book 2 nacho ni kweli isiyo na shaka.Kingine Qur'an sio kitabu Cha Sayansi, na ni makosa ya dhahiri kukilinganisha na Sayansi.
Qur'an ni muongozo kwa watu, na yanayosemwa na Qur'an ni kweli tu isiyo kuwa na shaka ndani.
Sayansi misingi yake ni dhaifu na onabadilika kila uchwao, lakini Qur'an haibadiliki.
Alikuwa na Mmoja TU Sara,huyo mwingine alizalishwa TU,na alitimuliwa Ili kutovuruga penzi la ibra na Sara!!!
Uislam ulikuwepo Afrika hata kabla ya ujio wa mkoloni yeyoteBila Quran na Bible hakuna namna nyingine yakusibitisha uwepo wa Mungu? Kwa nini Mungu alichelewa kuja Africa, vp hakutuma nabii haikomboe Africa Toka kwenye utumwa? Na kwa nini mitume wote ni wayahudi? Vipi Taifa teule na sisi wa Tz vipi ?
Kama wajifunza ushaelewa kama ni mabishano yasio na mantiki huto elewaNi adamu
Hawakuwa waislam ila uislam ulikuwepo ibada yao kubwa maquraish ilikuwa kuabudu masana ndio maana walimpinga.Unahisi kwanini walimpinga wakati walikuwa waislamu(?) au wakati huo Quran haikuwepo??
Hawakuwa waislam ila uislam ulikuwepo
Akili yako inafanya kazi vizuri??Qur an ilikuwa bado kuteremshwa,
Al An'aam 6:14Thibitisha
Maana hata Nabii Issa alikuwa muislam
Nabii isa anaweza kuwa muislamu ila yesu hawezi kuwa muislamuAl An'aam 6:14
Umeielewa lakini??Al An'aam 6:14
quran.com
inaeleza Mohammad aseme yeye ndie wa kwanza kusilimuUmeielewa lakini??
![]()
Surah Al-An'am - 14 - Quran.com
Say, ˹O Prophet,˺ “Will I take any guardian other than Allah, the Originator of the heavens and the earth, Who provides for all and is not in need of ...quran.com
Sasa kama Muhammad ndio wakwanza kusilimu inakuwajee Adam awe wakwanzainaeleza Mohammad aseme yeye ndie wa kwanza kusilimu
Ila alideal na wayahudi wenzakeUislam ulikuwepo Afrika hata kabla ya ujio wa mkoloni yeyote
Nabii Yusuph aliishi misri katika adhi ya Jushan au Gasan amabyo sasa inajulikana kama Wadi al- Tumailat, bonde la kilimo,
Linaloenea kutoka mji wa zagazig huko al- sharqeya had I magharib mwa al- Ismailia, kukaa kwao misri kuliendelea hadi kuzaliwa kwa Nabii Mussa
Misri ni nchi ya Afrika ya kaskazini mashariki ikiwa na eneo la Rasi ya Sinai kwenye bara la Asia.
Utasemaje Mungu alitusahau Afrika, tukija na hapa Tanzania kuna mji waitwa Kiowa kisiwani tafuta historia yake,
Mji wa Kilwa kisiwani ulianza karne ya saba baada ya kristoView attachment 3224814View attachment 3224815View attachment 3224816
Mpaka sasa Adam hajasilimu,tunakubaliana??inaeleza Mohammad aseme yeye ndie wa kwanza kusilimu
Nipe hiyo historical record inayoonesha hivyo halafu niwekee na chanzo chake