Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Naam! Taratibu umeanza kutumia akili na siyo mahaba!

1:Mpaka sasa Adam hajatekeleza mojawapo ya nguzo kuu ya dini si ndiyo??

2: Bado unaamini alikuwa muislamu??

3: Je,unakubali hizo nguzo kuu tano na za imani alianza kutumia mtume??

4:Je,Mungu alitumia kigezo gani kumpa mtume hizo nguzo na kuwasahau mitume wengine hata nguzo moja??

5:Ukitumia akili yako vizuri huoni kuwa uislamu ulianza wakati wa mtume?? Fuatilia vizuri historia ya mtume!
Kati ya hizo nguzo na Adam nani alitangulia
 
Qur an 099 "The earthquake"

When the earth is shaken with it's (final) earthquake

And the earth discharges it's burdens

And man says "what is (wrong with it)

That day, it will report it's news

Because ur lord has commanded it ........ "To the end"
Lakin hiyo si inazungumzia kiama
 
Kingine Qur'an sio kitabu Cha Sayansi, na ni makosa ya dhahiri kukilinganisha na Sayansi.

Qur'an ni muongozo kwa watu, na yanayosemwa na Qur'an ni kweli tu isiyo kuwa na shaka ndani.

Sayansi misingi yake ni dhaifu na onabadilika kila uchwao, lakini Qur'an haibadiliki.
"Kweli isiyo na shaka" sio big issue ya kukifanya kiwe special. Hata kitabu cha Mathematics book 2 nacho ni kweli isiyo na shaka.
 
Alikuwa na Mmoja TU Sara,huyo mwingine alizalishwa TU,na alitimuliwa Ili kutovuruga penzi la ibra na Sara!!!

Bila Quran na Bible hakuna namna nyingine yakusibitisha uwepo wa Mungu? Kwa nini Mungu alichelewa kuja Africa, vp hakutuma nabii haikomboe Africa Toka kwenye utumwa? Na kwa nini mitume wote ni wayahudi? Vipi Taifa teule na sisi wa Tz vipi ?
Uislam ulikuwepo Afrika hata kabla ya ujio wa mkoloni yeyote

Nabii Yusuph aliishi misri katika adhi ya Jushan au Gasan amabyo sasa inajulikana kama Wadi al- Tumailat, bonde la kilimo,

Linaloenea kutoka mji wa zagazig huko al- sharqeya had I magharib mwa al- Ismailia, kukaa kwao misri kuliendelea hadi kuzaliwa kwa Nabii Mussa

Misri ni nchi ya Afrika ya kaskazini mashariki ikiwa na eneo la Rasi ya Sinai kwenye bara la Asia.

Utasemaje Mungu alitusahau Afrika, tukija na hapa Tanzania kuna mji waitwa Kiowa kisiwani tafuta historia yake,

Mji wa Kilwa kisiwani ulianza karne ya saba baada ya kristo
download (11).jpeg
download (10).jpeg
download (9).jpeg
 
Kama wajifunza ushaelewa kama ni mabishano yasio na mantiki huto elewa

Ndio maana nikasema kila Nabii ana muongozo wake wa kufanya ibada,

Kama Adam ndio alietangulia angefanya jambo ambalo wakati wake hakufaradhishwa nalo.
 
Unahisi kwanini walimpinga wakati walikuwa waislamu(?) au wakati huo Quran haikuwepo??
Hawakuwa waislam ila uislam ulikuwepo ibada yao kubwa maquraish ilikuwa kuabudu masana ndio maana walimpinga.

Qur an ilikuwa bado kuteremshwa,

Wakati qur an yaanza kuteremsha na walipo somewa aya zake taratib ndipo baadhi yao wali amini na kuifata.
 
Uislam ulikuwepo Afrika hata kabla ya ujio wa mkoloni yeyote

Nabii Yusuph aliishi misri katika adhi ya Jushan au Gasan amabyo sasa inajulikana kama Wadi al- Tumailat, bonde la kilimo,

Linaloenea kutoka mji wa zagazig huko al- sharqeya had I magharib mwa al- Ismailia, kukaa kwao misri kuliendelea hadi kuzaliwa kwa Nabii Mussa

Misri ni nchi ya Afrika ya kaskazini mashariki ikiwa na eneo la Rasi ya Sinai kwenye bara la Asia.

Utasemaje Mungu alitusahau Afrika, tukija na hapa Tanzania kuna mji waitwa Kiowa kisiwani tafuta historia yake,

Mji wa Kilwa kisiwani ulianza karne ya saba baada ya kristoView attachment 3224814View attachment 3224815View attachment 3224816
Ila alideal na wayahudi wenzake
 
Back
Top Bottom