Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hajasilimu alikuwa dini gani mbona unakwepa kujibu?Alifata mila za Nabii Ibrahim
Wakatolic ndio wana hiyoo dini ya kiislamWakatolic wamefundishwa na nani?
Alikuwa kafiri muabudu sanamu kwan unajua historia ya saudia weweKabla hajasilimu alikuwa dini gani mbona unakwepa kujibu?
Naomba unijibu kabla Mohammad hajasilimu alikuwa anaabudu kitu gani?Page no 4
Sinimekwambia alikuwa anabudu mizimu na masanamu muhamadi amekuwamuislma kwa miaka 13 tuuuNaomba unijibu kabla Mohammad hajasilimu alikuwa anaabudu kitu gani?
Jibu Mohamedi alikuwa anaabudi nn kama sio masanamu ya makkaPage no 4
Pg #4 hujaongea chochote kuhusu jua kuzama kwenye matope meusiPage no 4
Mohamed hana hata undugu na Ibrahim hata nusuKabla ya kuwa Mtume alikuwa akifata mila ya Nabii Ibrahim (ibada ya mungu mmoja)
Uongo huoo hata baba wa Mohamedi alikuwa anaabudu mizimuKabla ya kuwa Mtume alikuwa akifata mila ya Nabii Ibrahim (ibada ya mungu mmoja)
Ibrahim yupo hata kabla ya musa mika kibaoo afuu mudi amfuate si bora ungesema alimfuata yesu kristo tuuKabla ya kuwa Mtume alikuwa akifata mila ya Nabii Ibrahim (ibada ya mungu mmoja)
ujokaJua
Lina urefu wa maili 864,000 (kilomita 1,391,000) Hii ni takriban mara 109 ya kipenyo cha Dunia.
Uzito wa jua ni karibu mara 333,000 kuliko Dunia, Ni kubwa sana hivi, kwamba sayari za zipatazo 1,300,000 zinaweza kutoshea ndani yake.
Haiingii akilini kusema lazama kwenye matope meusi.
Hiyo hoja kwamba la zama kwenye matope meusi ime nukuliwa kwenye Qur an 18:83-101 Suratul Al- kahf
Allah alipo kuwa akimsimulia Dhul-qarnain. Na sio kwamba et Allah amesema jua lazama kwenye matope.
ujoka
Kwaiyoo nikuulizee quruan imesema wanaume watapata bicra 73 huko peponi na nyiee wanawake wa kiislam mtapa mboooo 73 au