Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Kabla ya kuwa Mtume alikuwa akifata mila ya Nabii Ibrahim (ibada ya mungu mmoja)
Kawiyoo hakuwa muislamu ila alifuata mila ya Ibrahim sio sasa unakataaa nn kwamba Muhammad hakuwa muislamu mika yote 40 alikuwa mfuata mila yaaan muabudu mila ya Ibrahim
 
Wanaoisifia hiyo Quran Yao na kusoma sana na kuikariri, sayansi yenyewe hawaijui, kwenye mitihani wanaruka na zero. Uvumbuzi na utengenezaji wa vifaa vya kisasa unafanywa na watu wasioijua Quran.
 
Wanaoisifia hiyo Quran Yao na kusoma sana na kuikariri, sayansi yenyewe hawaijui, kwenye mitihani wanaruka na zero. Uvumbuzi na utengenezaji wa vifaa vya kisasa unafanywa na watu wasioijua Quran.
Ndio nashangaa si basi shule tungefundishwa quruan ilikuwa na haja gani tusome sayansi
 
Asante, so ni Allah alikua anamdanganya mwamba au ilikua ni figurative language? na kama ilikua ni lugha ya picha tu au ni ujumbe gan alikua amekusudia kuufikisha kwa umma wake mtukufu?
Hakunà Allah Mohamedi hakuwa na akili nzuri yule walah tena kwenda kukifanya kitoto cha miaka 6 daaaah
 
Kama jibu ni hapana, then nini kinachokufanya uone ukosoaji wako kuhusu kitabu kingine uchukuliwe kama ni hoja ya kweli?

Swali zuri, sababu nimeonyesha umashaka na kuhoji. Ili iwe si hoja unatakiwa sasa ujibu yale maswali yaliyo pelekea mimi kuwa na mashaka. Hili ni jambo rahisi sana.
Je akijitokeza mtu akakuambia nayo Quran katika idadi ya chapter hizo hizo namo pia kuna mashaka.

Ni tamfafanunulia kwa kinaubaga na kumtoa mashaka hayo. Huku nikihojiana nae, akielewa sawa hasipo elewa kadhalika sawa.
Mtu huyo atakuwa ametoa majibu ya kuonesha kweli Quran katika chapter hizo kuna mashaka?

Hapa sasa mimi ambae sina mashaka na Qur'an nitamuonyesha ya kuwa Qur'an yenyewe kwa dhati yake haina shaka. Nitamueleza Qur'an ni nini ? Imeandikwaje ? Na imekamilika lini na imepitia tabaka gani mpaka kuwa hivi leo.

Kadhallika ningemuonyesha ya kuwa Qur'an si tu haina shaka bali kwa dhati yake yenyewe ni muujiza ambao upo mpaka Kiyama kinasimama.
Je atakuwa amethibitisha kuwa ni kweli Quran ina mashaka?

Kingine mimi si kuhishia tu kwenye kutaja chapter bali nilienda mbali na kujenga maswali. Sasa rudi kule nilipoanzia ili ujibu yale maswali.
 
Mohamed hana hata undugu na Ibrahim hata nusu
Waarab (musta'ribah) wa Arabia ya kati, magharibi na kaskazini walitoka kwa Nabii Ismail mwana mkubwa wa Nabii Ibrahim (s,a) kupitia kwa kizazi chake Adnan,

Kama vile kabila la kale la Hawazin au Makabila ya siku hizi ya Otaibah na mutayr

Nasaba ya Mtume Muhammad (s,a,w)

Kundi la kwanza

Muhammad bin Abdillah bin Abdul-Muttalib bin Hashim bin Abd manaf bin Qusai bin Kilab bin Murra bin Ka'b bin Lo'i bin Ghalib bin Fahr bin Malik bin An-Nadr bin Kinana bin Khuzaiman bin Mudrikah bin Elias bin Mudar bin Nizar bin Ma'ad bin Adnan

Kundi la pili

Adnan bin Add bin Humaisi bin Salaman bin Aws bin Buz bin Qamwal bin Obai bin Awwam bin Nashid bin Haza bin Bildas bin Yadlaf bin Tabikh bin Jahim bin Nahish bin Makhi bin Aid bin Abqar bin Ubaid bin Ad-Da'a bin Hamdan bin Sanbir bin Yathrabi bin Yahzin bin Yalhan bin Ar'awi bin Aid bin Deshan bin Aisar bin Afnad bin Aiham bin maksar bin Nahith bin Zarih bin sami bin Mazzi bin Awda bin Aram bin Qaidar bin ISMAIL (s,a)

Kundi la tatu

Nabii Ibrahim (s,a) Ibn Tarih (Azar) bin Nahur bin Saru' bin Ra'u bin Falikh bin Abir bin Shalikh bin Arfakhshad bin Sam bin Nuuh (s,a) bin Lamik bin Mutwashlack bin Akhnuk
(Who was said to be prophet Idris, (Enoch) (s,a) bin Yarid bin Mahla'ail bin Qabin Anusha bin shit bin ADAM (s,a)
 
Asante, so ni Allah alikua anamdanganya mwamba au ilikua ni figurative language? na kama ilikua ni lugha ya picha tu au ni ujumbe gan alikua amekusudia kuufikisha kwa umma wake mtukufu?
Allah alikuwa anaelezea aliyo yaona dhul-qarnain

ni ujumbe gan alikua amekusudia kuufikisha kwa umma wake mtukufu
Ujumbe ulikuwa wa husu safari ya Dhul-Qarnain na sio kuelezea eti jua la zama kwenye matope
 
Swali zuri, sababu nimeonyesha umashaka na kuhoji. Ili iwe si hoja unatakiwa sasa ujibu yale maswali yaliyo pelekea mimi kuwa na mashaka. Hili ni jambo rahisi sana.

Ni tamfafanunulia kwa kinaubaga na kumtoa mashaka hayo. Huku nikihojiana nae, akielewa sawa hasipo elewa kadhalika sawa.

Hapa sasa mimi ambae sina mashaka na Qur'an nitamuonyesha ya kuwa Qur'an yenyewe kwa dhati yake haina shaka. Nitamueleza Qur'an ni nini ? Imeandikwaje ? Na imekamilika lini na imepitia tabaka gani mpaka kuwa hivi leo.

Kadhallika ningemuonyesha ya kuwa Qur'an si tu haina shaka bali kwa dhati yake yenyewe ni muujiza ambao upo mpaka Kiyama kinasimama.

Kingine mimi si kuhishia tu kwenye kutaja chapter bali nilienda mbali na kujenga maswali. Sasa rudi kule nilipoanzia ili ujibu yale maswali.
Naona wewe unauelewa na uislamu swali langu ni je kabla Muhammad hajasilimu alikuwa dini gani au akiabudu nini?
 
Jua
Lina urefu wa maili 864,000 (kilomita 1,391,000) Hii ni takriban mara 109 ya kipenyo cha Dunia.

Uzito wa jua ni karibu mara 333,000 kuliko Dunia, Ni kubwa sana hivi, kwamba sayari za zipatazo 1,300,000 zinaweza kutoshea ndani yake.

Haiingii akilini kusema lazama kwenye matope meusi.

Hiyo hoja kwamba la zama kwenye matope meusi ime nukuliwa kwenye Qur an 18:83-101 Suratul Al- kahf

Allah alipo kuwa akimsimulia Dhul-qarnain. Na sio kwamba et Allah amesema jua lazama kwenye matope.

@Rozela
 
Jadiliana na watu ambao wapo tayari kuelewa na Sio wale ambao wanataka kubishana mpendwa, usipoteze nguvu kwa kitu ambacho kilishasemwa

" Vipofu , viziwi ".

Qur'an ipo kwaajili ya ulul albaab, watu wenye kutumia akili na wenye fikra, kama huna fikra huwezi kuelezwa Qur'an.

Qur'an haihitaji kuthibitishwa na yoyote yule, Kila kitu kilishasemwa

"Ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake".

Kwahy atakaetaka kuifahamu Qur'an ataifahamu na kuielewa , na ambae atakaeisoma kwa kutafuta makosa ni hasara yake.

Kuna mmoja nimemuona anasema mbona Qur'an haijaeleza (A -Z) namna mvua inavyofanyika , zaidi imeweka consept.

Swali: Maprofesa Huwa wanafundisha vipi vyuo vikuu!?, Wanakuwekea Kila kitu dhahiri au unapewa consept research unafanya mwenyewe!?.

Ni sawa na wewe unatamani kupika biriani lakini hujui mahitaji yake, mtu akutajie mahitaji yote na namna ya kuliandaa, halafu ushindwe kulipika!?, Kisa hajaanza "inabidi Uende sokoni ukanunue mchele".

Ndomna Qur'an ikaja kwa watu wenye mazingatio na kutumia akili, ukishapewa consept kafanye research, sasa umepewa akili za nini kama unataka kutafuniwa Kila kitu!?.

Allah anajua amekupa akili na limit za akili zako anazijua , unao huo uwezo wa kuelewa na kufanya research ukipewa consept.

Mtoto wako wa miaka 5 huwezi kumpa ndoo kubwa abebe hiyo ni mbali na uwezo wake lakini mtoto wa miaka 20 unampa na anabeba kwakua uwezo wake wa kimwili unajua unaruhusu, kama wewe unaweza kujua limits za wanao , vipi aliyekuumba ashindwe kujua limits za akili Yako!?.
 
Back
Top Bottom