Hahahhhh sie hatuna noma kikubwa upendo tu.Wagalatia waende mahakamani kupinga maandiko yao kuchakachuliwa vibaya na Quran.
YunusSio Nuhu Ni Yona
• Biblia inazungumzia miungu watatuStori za Quran na Biblia nani alikuambia zinazungumzia watu au wahusika walewale?
Hata miungu ni tofauti kabisa
• Biblia inazungumzia miungu watatu
° Qur'an (Mungu mmoja)
• Biblia (Yesu)
° Qur'an (Issa a.s)
• Biblia (Yona)
° Qur'an ( Yunus a.s)
Hizi ni Baadhi tu ya stori za Biblia zilizobadilishwa kiajabu ajabu na kiholela na Quran
1. Yesu Hakufa msalabani
2. Yesu alizaliwa chini ya mtende anazungumza
3. Ishmael mtoto wa ahadi badala ya Isaka.
4. Farao wa Misri kujenga mnara wa kwenda mbinguni badala ya watu wa mji wa Babel.
5. Story ya Yona kwenye Quran inasema Yona alienda Ninawi akaondoka kwa hasira kabla ya muda ndio akamezwa na Samaki halafu akarudishwa tena na Allah!
6. Mke wa Nuhu na mtoto wake mmoja hawakuingia kwenye safina na waliangamia kwenye gharika.
7. Shetani alikataa kumsujudu binadamu ndio ilikuwa dhambi yake.
8. Sodoma na Gomorah ziligeuzwa juu chini zikanyeeshewa mvua ya mawe na matofali.
Karibu kila story ya Biblia imehaririwa na imegeuzwa juu chini na Quran!
Hapana huu ni uchocheziKuwapa watu ilmu
Ilmu dunia au ahera😁😁Kuwapa watu ilmu
Hakuna sababu ya kukiandikaKipi nilichoandika hapo ambacho sio cha kweli ?
Dini hizi fix sana.Hizi ni Baadhi tu ya stori za Biblia zilizobadilishwa kiajabu ajabu na kiholela na Quran