Quran ilizibadilisha kabisa stori zote za Biblia!

Katika akili yako,kwa uwezo aliokuwa nao Yesu,wauaji walimuua kijinga kijinga kumvua nguo kumvalisha nepi,kumpiga mikuki kumtukana,kumtemea mate,na kumbebesha msalaba,na kumuua kwa kumsulubu.Yesu usimfananishe na mimi na wewe.Hata katika uislamu,ana cheo kikubwa ,na alizaliwa kimaajabu,bila baba. Na mama yake katika uislamu,ndani ya Quran ametajwa ni mwanamke bora kuliko wanawake wote,ulimwenguni.
 
Wagalatia waende mahakamani kupinga maandiko yao kuchakachuliwa vibaya na Quran. Muhammad hakufanya uadilifu kuchukua stori za watu wengine na kuzibadilisha ili kujipa upekee.
Mudi ni mzee wa hovyo sana, aliharibu kabisa Dunia
 
H
Kwanini wengi wanaotafuta uhalali wa quran hupenda sana kutumia biblia na Yesu katika kuhalalisha hoja zao badala ya kutumia quran yenyewe? Ukiwasikiliza wajinga wengi wanaofanya mihadhara, wengi wao hupenda kuchambua biblia na siyo quran. Hapa, kuna tatizo kubwa tu. Au ni yale ya mti wenye matundda ndiyo upopolewao?
 
Katika akili yako,kwa uwezo aliokuwa nao Yesu,wauaji walimuua kijinga kijinga kumvua nguo kumvalisha nepi,kumpiga mikuki kumtukana,kumtemea mate,na kumbebesha msalaba,na kumuua kwa kumsulubu.Yesu usimfananishe na wewe au mtu mwingine.Katika uislamu amepewa unabii na mama yake ni mwanamke bora,kuliko wanawake wote,ulimwenguni
Biblia hikuweka watu maalunu,waisome,imeandikwa,Habari njema kwa watu wote
 
Biblia ndiyo iliyoanza kabla ya Qurani.
Kwa mpangilio wa kihistoria:
Biblia: Maandishi yake yaliandikwa kwa vipindi tofauti. Sehemu za Agano la Kale zilianza kuandikwa karne nyingi kabla ya Yesu. Agano Jipya liliandikwa takribani mwaka 50–100 BK.
Qurani: Kulingana na historia ya Kiislamu, iliteremshwa kwa Mtume Muhammad kuanzia mwaka 610 BK hadi 632 BK.
 
Kwani quran iliandikwa na watu kwa ajili ya kusomwa na akina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…