Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
4,646
Reaction score
10,442
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157

Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.

Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.

Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.

100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? 😎😎😎😎

Maneno ya Mussa👇👇👇
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"

Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird

Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
 
😂😂

Ujinga ni taji kwa hawa vijana wa itikadi kali, na dini yao ndio imekuja kuwa nyundo ya kushindilia ujinga wao na wakauvaaa upumbavu kama njia ya maisha yao

Sasa kwa ujinga na upumbavu huu ndio ikatokea kuwa faida kwa itikadi kali kwa maana mafundisho yake ya kufikirika hayawezi shinda mwanadamu mwenye utashi kuntu.

Endeleeni kudanganya wapumbavu na wajinga wenzenu, revolt minds can never bare this caliphate b*llshit
adriz
 
Yani maana ya kutabiri ni kuotea kitu cha mbele sio cha nyuma...Sasa Quran imekuja baada ya Mussa na injili. Inawezahe kutabiri mambo yaliyopita?
Ndio ushangae sasa hao maamuma wao wanadhani Uislam ulianza
600 BCE Ndio wengi akili zao zilivyo!
 
Yani maana ya kutabiri ni kuotea kitu cha mbele sio cha nyuma...Sasa Quran imekuja baada ya Mussa na injili. Inawezahe kutabiri mambo yaliyopita?

Yaan Mussa alitabiri kutakuwepo Injili na eti kwenye hiyo Injili kutatabiri pia kuwa kutakuwepo kwa mohamad mtume asiyeweza kusoma wala kuandika.

Kufupisha tuweke hivi.
Utabiri ukatabiri kuwa utabiri utatabiri 😂😂😂😂

Mussa hakuwa anajua kutakuwepo na vitabu vya Injili.
Ila eti alitabiri.
Hajaishia hapo.
Ametabiri kuwa hivo vitabu vya injili vitatabiri pia kuwa kutakuwepo kwa Mohamed.

Nachoka mm.
 
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157

Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.

Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.

Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.

100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? 😎😎😎😎
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika so hawezi kopi vitabu vya wayahudi,ikukae akilini kuwa mpaka 1200 ulaya waliokua wanajua kusoma na kuandika ni viongozi wa dini,kuna hadi mfalme wa uingereza hakujua kusoma na kuandika
Historia za manabii na jamii zao zimeelezewa kiusahihi kwenye Quran kuliko vitabu vya kiyahudi
Quran ina scientific theories na facts ambazo zimekua proved leo baada ya maendeleo ya saysnsi na tech,mtu asiyejua soma na kuandika iweje aje na facts hizo
Maneno ya Mussa👇👇👇
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"

Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird

Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingira
 
Mbona sijaona sehemu yoyote hapo. Musa ndo kasema hayo maneno.au AYA umeikata?
 
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika so hawezi kopi vitabu vya wayahudi,ikukae akilini kuwa mpaka 1200 ulaya waliokua wanajua kusoma na kuandika ni viongozi wa dini,kuna hadi mfalme wa uingereza hakujua kusoma na kuandika
Historia za manabii na jamii zao zimeelezewa kiusahihi kwenye Quran kuliko vitabu vya kiyahudi
Quran ina scientific theories na facts ambazo zimekua proved leo baada ya maendeleo ya saysnsi na tech,mtu asiyejua soma na kuandika iweje aje na facts hizo

MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingira
Katika listi ya Manabii Musa hajawahi kutajwa kama Nabii kama vitabu vya Kiyahudi na Biblia Musa sio nabii na hana sifa za kinabii jua kutofautisha kati ya Nabii,Mtume,Mwamuzi,Kiongozi nk na kazi zao katika mission ndio maana mnasititizwa kama kitu hamjui ulizeni walitangulia kupewa kitabu nyie Maamuma!
 
Nabii ni mtu anayeteremshiwa wahyi/ufunuo wa Mungu na kuufikisha kwa binadam wengine
Kama Musa hakupewa ujumbe na Allah sw sawa
Ila mimi sifuati maandiko ya uliowaita wayahudi bali Quran
Wanaojiita wayahudi nabii kwao ni mfalme, maana kiongozi wa kiroho na serikali, ndiyo maana yesu walimpinga wakidai anajiita mfalme wa wayahudi,daudi, Suleiman wanawaita wafalme,wale kwenye uislam ni manabii
 
Muhamadi sijui nimuiteje:
Yaani kakuta masimulizi yote ya Manabii wa kale yapo:
Na vitabu vyake:
Yeye akisimuliwa anapo taka kusimulia anauita eti Wahayi:
Kuna Aya kajitabiria mwenyewe:
Anasema
Kumbukeni Isa bin Mariam alivyosema atakuja Mtume aitwaye Ahmadi:

Ndugu zake Yesu pamoja na Wayahudi na Waisraeli kwa ujumla wao, hawakuwahi kumsikia Yesu akiongea hayo MANENO ya Muhamadi kudai kumtaburia yeye:

Mara alipaa Mbinguni akawaswalisha Akina Ibrahimu, Musa na Yesu:

Ukiwa tu na japo D Moja utaiona wazi kabisa Qurani kuwa ni MANENO ya kubumba bumba tu:

Aya zote za Qurani hazina Mwandishi wake:
Unaikuta Sura tu imekaa pale: mwandishi kajificha:

Hata Gazeti la Nipashe kila habari ina jina la kumtambulisha mwandishi Tena wanaweka Hadi namba za Simu zao:

Kwa Hilo tu la kujificha waandishi wa Aya, Qurani inajiondoa katika maandishi ya kuaminika na jamii iliyo staarabika;
 
MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingira

Kwahiyo bro hapa unaona umenijibu hoja?.

Au na ww umechoka kama allah

Quran 50 : 15
"Kwani tulichoka kwa kuumba mara ya kwanza. Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya"

Hebu tafakar Mussa atabiri kuwepo kwa Injili na atabiri eti kwenye hiyo Injili Mohamed ataandikwa.?

Na ni wap kwenye Injili pameandikwa atakuja mtume ambaye hajui kusoma wala kuandika?.

Uweke na mistar ya Injili mahsusi inayosema atakuja mtume mwenye hizo sifa.
 
Nabii ni mtu anayeteremshiwa wahyi/ufunuo wa Mungu na kuufikisha kwa binadam wengine
Kama Musa hakupewa ujumbe na Allah sw sawa
Ila mimi sifuati maandiko ya uliowaita wayahudi bali Quran
Wanaojiita wayahudi nabii kwao ni mfalme, maana kiongozi wa kiroho na serikali, ndiyo maana yesu walimpinga wakidai anajiita mfalme wa wayahudi,daudi, Suleiman wanawaita wafalme,wale kwenye uislam ni manabii
Musa hakutelemshiwa ila alipewa Direct na Mungu live,Musa hatumuweki katika kundi la Manabii maana Nabii anatabiri for Future ila Musa alikua Leader anayepokea Command inayofanyiwa kazi muda huo huo yeye ni zaidi ya Nabii ni Sauti ya Mungu kwa Watu/Israeli
Jifunze kutofautisha role zao!
 
Muhamadi sijui nimuiteje:
Yaani kakuta masimulizi yote ya Manabii wa kale yapo:
Na vitabu vyake:
Yeye akisimuliwa anapo taka kusimulia anauita eti Wahayi:
Kuna Aya kajitabiria mwenyewe:
Anasema
Kumbukeni Isa bin Mariam alivyosema atakuja Mtume aitwaye Ahmadi:

Ndugu zake Yesu pamoja na Wayahudi na Waisraeli kwa ujumla wao, hawakuwahi kumsikia Yesu akiongea hayo MANENO ya Muhamadi kudai kumtaburia yeye:

Mara alipaa Mbinguni akawaswalisha Akina Ibrahimu, Musa na Yesu:

Ukiwa tu na japo D Moja utaiona wazi kabisa Qurani kuwa ni MANENO ya kubumba bumba tu:

Aya zote za Qurani hazina Mwandishi wake:
Unaikuta Sura tu imekaa pale: mwandishi kajificha:

Hata Gazeti la Nipashe kila habari ina jina la kumtambulisha mwandishi Tena wanaweka Hadi namba za Simu zao:

Kwa Hilo tu la kujificha waandishi wa Aya, Qurani inajiondoa katika maandishi ya kuaminika na jamii iliyo staarabika;

Watasema imeshushwa kutoka kwa Allah na sio maneno ya binadamu.

Quran imeshushwa yote ndan ya siku 1 mpaka Mbingu ya kwanza usiku wa mwez Ramadhan 😁😁😁😁
Ikawaje tena kusubiria miaka 23 kushuka kwa binadamu?.

Alaf nimekumbuka. Quran inasema kuna mbingu 7. Ngoja ntaandaa hoja.
 
Muhamadi sijui nimuiteje:
Yaani kakuta masimulizi yote ya Manabii wa kale yapo:
Na vitabu vyake:
Yeye akisimuliwa anapo taka kusimulia anauita eti Wahayi:
Kuna Aya kajitabiria mwenyewe:
Anasema
Kumbukeni Isa bin Mariam alivyosema atakuja Mtume aitwaye Ahmadi:

Ndugu zake Yesu pamoja na Wayahudi na Waisraeli kwa ujumla wao, hawakuwahi kumsikia Yesu akiongea hayo MANENO ya Muhamadi kudai kumtaburia yeye:

Mara alipaa Mbinguni akawaswalisha Akina Ibrahimu, Musa na Yesu:

Ukiwa tu na japo D Moja utaiona wazi kabisa Qurani kuwa ni MANENO ya kubumba bumba tu:

Aya zote za Qurani hazina Mwandishi wake:
Unaikuta Sura tu imekaa pale: mwandishi kajificha:

Hata Gazeti la Nipashe kila habari ina jina la kumtambulisha mwandishi Tena wanaweka Hadi namba za Simu zao:

Kwa Hilo tu la kujificha waandishi wa Aya, Qurani inajiondoa katika maandishi ya kuaminika na jamii iliyo staarabika;
Hii haina comeback 😂😂😂
 
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157

Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.

Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.

Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.

100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? 😎😎😎😎

Maneno ya Mussa👇👇👇
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"

Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird

Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
Mousa alikuwa akiongea kiarabu??? Msaada please! Vipi kuhusu David, Solomon etc?
 
Kwahiyo bro hapa unaona umenijibu hoja?.

Au na ww umechoka kama allah

Quran 50 : 15
"Kwani tulichoka kwa kuumba mara ya kwanza. Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya"
Kiswahili hujui,ile aya ya mtume 'kuandikisha' Quran ulijifunua namna gani hujui kiswahili,na aya hii umejipambanua tena kiswahili hujui na kusoma kuelewa kwako ni shida,hiyo aya haisemi Mungu kachoka bali inasema Mungu hachoki
Hebu tafakar Mussa atabiri kuwepo kwa Injili na atabiri eti kwenye hiyo Injili Mohamed ataandikwa.?
Kuelewa mgumu!
Huku kwenye uislam nabii haongei kuhusu dini/Mungu bali amefunuliwa na Mungu
Musa kumuongelea nabii ajae si suala la ujuzi wake bali ni ujumbe wa Mungu kwake,kushangaa Musa kujua kuna kitabu kitakuja kitaitwa injili na nabii asiyejua soma ni sawa na kushangaa Mungu kujua kuwa injili itakuja na patakuja nabii asiyejua kusoma
Na ni wap kwenye Injili pameandikwa atakuja mtume ambaye hajui kusoma wala kuandika?.

Uweke na mistar ya Injili mahsusi inayosema atakuja mtume mwenye hizo sifa.
Hiyo injili yenyewe Iko wapi kwa kuanzia!?
Lakini hata hilo shombo la injili lililopo kuna msitari yesu anaulizwa 'wewe ni nabii yule'?..akajibu hapana, baada ya yesu kuna nabii gani unayemjua alifuata?
Yesu anamtaja 'mkweli mwaminifu atakuja kuishi nanyi awafunze'.. Muhammad aliitwa mkweli mwaminifu na kuna member humu wa kuitwa hamis,kitabu cha mkweli mwaminifu ni rejea kwake,usiniambia huyu mkweli mwaminifu ni roho mtakatifu,siyo kweli
Lakini Israel waliambiwa ufalme utahamishwa toka kwao kwenda parani(arabuni), ufalme huo ni upi?
 
Musa hakutelemshiwa ila alipewa Direct na Mungu live,Musa hatumuweki katika kundi la Manabii maana Nabii anatabiri for Future ila Musa alikua Leader anayepokea Command inayofanyiwa kazi muda huo huo yeye ni zaidi ya Nabii ni Sauti ya Mungu kwa Watu/Israeli
Jifunze kutofautisha role zao!
Kwani unaelewa nini kuhusu 'kuteremshiwa ufunuo '!?..nyi watu vichwa vyenu ni useless
Alipoambiwa aende akawakomboe Wana wa Israel,rusha fimbo geuka nyoka,pasua bahari..nayo haya maagizo alishushiwa direct kwenye mbao?
 
Back
Top Bottom