Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Mkiambiwa Muhammad alikuwa anavuta bangi kabla ya kuanza kusimulia stimu za bangi kwa maswahaba wake muwe mnaelewa.Yani maana ya kutabiri ni kuotea kitu cha mbele sio cha nyuma...Sasa Quran imekuja baada ya Mussa na injili. Inawezahe kutabiri mambo yaliyopita?
Ndio ushangae sasa hao maamuma wao wanadhani Uislam ulianzaYani maana ya kutabiri ni kuotea kitu cha mbele sio cha nyuma...Sasa Quran imekuja baada ya Mussa na injili. Inawezahe kutabiri mambo yaliyopita?
Yani maana ya kutabiri ni kuotea kitu cha mbele sio cha nyuma...Sasa Quran imekuja baada ya Mussa na injili. Inawezahe kutabiri mambo yaliyopita?
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika so hawezi kopi vitabu vya wayahudi,ikukae akilini kuwa mpaka 1200 ulaya waliokua wanajua kusoma na kuandika ni viongozi wa dini,kuna hadi mfalme wa uingereza hakujua kusoma na kuandikaAnzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? ππππ
MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingiraManeno ya Mussaπππ
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"
Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird
Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
Katika listi ya Manabii Musa hajawahi kutajwa kama Nabii kama vitabu vya Kiyahudi na Biblia Musa sio nabii na hana sifa za kinabii jua kutofautisha kati ya Nabii,Mtume,Mwamuzi,Kiongozi nk na kazi zao katika mission ndio maana mnasititizwa kama kitu hamjui ulizeni walitangulia kupewa kitabu nyie Maamuma!Muhammad hakujua kusoma wala kuandika so hawezi kopi vitabu vya wayahudi,ikukae akilini kuwa mpaka 1200 ulaya waliokua wanajua kusoma na kuandika ni viongozi wa dini,kuna hadi mfalme wa uingereza hakujua kusoma na kuandika
Historia za manabii na jamii zao zimeelezewa kiusahihi kwenye Quran kuliko vitabu vya kiyahudi
Quran ina scientific theories na facts ambazo zimekua proved leo baada ya maendeleo ya saysnsi na tech,mtu asiyejua soma na kuandika iweje aje na facts hizo
MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingira
Nabii ni mtu anayeteremshiwa wahyi/ufunuo wa Mungu na kuufikisha kwa binadam wengineKatika listi ya Manabii Musa hajawahi kutajwa kama Nabii kama vitabu vya Kiyahudi na Biblia Musa sio nabii na hana sifa za kinabii jua kutofautisha kati ya Nabii,Mtume,Mwamuzi,Kiongozi nk na kazi zao katika mission ndio maana mnasititizwa kama kitu hamjui ulizeni walitangulia kupewa kitabu nyie Maamuma!
MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingira
Musa hakutelemshiwa ila alipewa Direct na Mungu live,Musa hatumuweki katika kundi la Manabii maana Nabii anatabiri for Future ila Musa alikua Leader anayepokea Command inayofanyiwa kazi muda huo huo yeye ni zaidi ya Nabii ni Sauti ya Mungu kwa Watu/IsraeliNabii ni mtu anayeteremshiwa wahyi/ufunuo wa Mungu na kuufikisha kwa binadam wengine
Kama Musa hakupewa ujumbe na Allah sw sawa
Ila mimi sifuati maandiko ya uliowaita wayahudi bali Quran
Wanaojiita wayahudi nabii kwao ni mfalme, maana kiongozi wa kiroho na serikali, ndiyo maana yesu walimpinga wakidai anajiita mfalme wa wayahudi,daudi, Suleiman wanawaita wafalme,wale kwenye uislam ni manabii
Muhamadi sijui nimuiteje:
Yaani kakuta masimulizi yote ya Manabii wa kale yapo:
Na vitabu vyake:
Yeye akisimuliwa anapo taka kusimulia anauita eti Wahayi:
Kuna Aya kajitabiria mwenyewe:
Anasema
Kumbukeni Isa bin Mariam alivyosema atakuja Mtume aitwaye Ahmadi:
Ndugu zake Yesu pamoja na Wayahudi na Waisraeli kwa ujumla wao, hawakuwahi kumsikia Yesu akiongea hayo MANENO ya Muhamadi kudai kumtaburia yeye:
Mara alipaa Mbinguni akawaswalisha Akina Ibrahimu, Musa na Yesu:
Ukiwa tu na japo D Moja utaiona wazi kabisa Qurani kuwa ni MANENO ya kubumba bumba tu:
Aya zote za Qurani hazina Mwandishi wake:
Unaikuta Sura tu imekaa pale: mwandishi kajificha:
Hata Gazeti la Nipashe kila habari ina jina la kumtambulisha mwandishi Tena wanaweka Hadi namba za Simu zao:
Kwa Hilo tu la kujificha waandishi wa Aya, Qurani inajiondoa katika maandishi ya kuaminika na jamii iliyo staarabika;
Hii haina comeback πππMuhamadi sijui nimuiteje:

Mousa alikuwa akiongea kiarabu??? Msaada please! Vipi kuhusu David, Solomon etc?Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? ππππ
Maneno ya Mussaπππ
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"
Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird
Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
Kiswahili hujui,ile aya ya mtume 'kuandikisha' Quran ulijifunua namna gani hujui kiswahili,na aya hii umejipambanua tena kiswahili hujui na kusoma kuelewa kwako ni shida,hiyo aya haisemi Mungu kachoka bali inasema Mungu hachokiKwahiyo bro hapa unaona umenijibu hoja?.
Au na ww umechoka kama allah
Quran 50 : 15
"Kwani tulichoka kwa kuumba mara ya kwanza. Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya"
Kuelewa mgumu!Hebu tafakar Mussa atabiri kuwepo kwa Injili na atabiri eti kwenye hiyo Injili Mohamed ataandikwa.?
Hiyo injili yenyewe Iko wapi kwa kuanzia!?Na ni wap kwenye Injili pameandikwa atakuja mtume ambaye hajui kusoma wala kuandika?.
Uweke na mistar ya Injili mahsusi inayosema atakuja mtume mwenye hizo sifa.
Kwani unaelewa nini kuhusu 'kuteremshiwa ufunuo '!?..nyi watu vichwa vyenu ni uselessMusa hakutelemshiwa ila alipewa Direct na Mungu live,Musa hatumuweki katika kundi la Manabii maana Nabii anatabiri for Future ila Musa alikua Leader anayepokea Command inayofanyiwa kazi muda huo huo yeye ni zaidi ya Nabii ni Sauti ya Mungu kwa Watu/Israeli
Jifunze kutofautisha role zao!