Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
- Thread starter
-
- #21
Mbona sijaona sehemu yoyote hapo. Musa ndo kasema hayo maneno.au AYA umeikata?
Kwani unaelewa nini kuhusu 'kuteremshiwa ufunuo '!?..nyi watu vichwa vyenu ni useless
Alipoambiwa aende akawakomboe Wana wa Israel,rusha fimbo geuka nyoka,pasua bahari..nayo haya maagizo alishushiwa direct kwenye mbao?
Hujui kiswahili,ufahamu lowHuo ni mstar wa 157. Ni kuendelezo.
Ila anzia 155.
Ni maneno ya Mussa.
gallow bird unajibu hoja kwa tetezi dhaifu sana. Au na ww ni dhaifu kama allah
Quran 17 : 111.
"Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa."
Injili siyo ya Musa, Musa yake tauratiNaomba usisahau kunionyesha mstar wa Injili unaosema atakuja mtume asiyejua kusoma wala kuandika kama livyotabiri Mussa.
Kiswahili hujui,ile aya ya mtume 'kuandikisha' Quran ulijifunua namna gani hujui kiswahili,na aya hii umejipambanua tena kiswahili hujui na kusoma kuelewa kwako ni shida,hiyo aya haisemi Mungu kachoka bali inasema Mungu hachoki
Kuelewa mgumu!
Huku kwenye uislam nabii haongei kuhusu dini/Mungu bali amefunuliwa na Mungu
Musa kumuongelea nabii ajae si suala la ujuzi wake bali ni ujumbe wa Mungu kwake,kushangaa Musa kujua kuna kitabu kitakuja kitaitwa injili na nabii asiyejua soma ni sawa na kushangaa Mungu kujua kuwa injili itakuja na patakuja nabii asiyejua kusoma
Hiyo injili yenyewe Iko wapi kwa kuanzia!?
Lakini hata hilo shombo la injili lililopo kuna msitari yesu anaulizwa 'wewe ni nabii yule'?..akajibu hapana, baada ya yesu kuna nabii gani unayemjua alifuata?
Yesu anamtaja 'mkweli mwaminifu atakuja kuishi nanyi awafunze'.. Muhammad aliitwa mkweli mwaminifu na kuna member humu wa kuitwa hamis,kitabu cha mkweli mwaminifu ni rejea kwake,usiniambia huyu mkweli mwaminifu ni roho mtakatifu,siyo kweli
Lakini Israel waliambiwa ufalme utahamishwa toka kwao kwenda parani(arabuni), ufalme huo ni upi?
Huo ni utapeli kupitia dini.Muhamadi sijui nimuiteje:
Yaani kakuta masimulizi yote ya Manabii wa kale yapo:
Na vitabu vyake:
Yeye akisimuliwa anapo taka kusimulia anauita eti Wahayi:
Kuna Aya kajitabiria mwenyewe:
Anasema
Kumbukeni Isa bin Mariam alivyosema atakuja Mtume aitwaye Ahmadi:
Ndugu zake Yesu pamoja na Wayahudi na Waisraeli kwa ujumla wao, hawakuwahi kumsikia Yesu akiongea hayo MANENO ya Muhamadi kudai kumtaburia yeye:
Mara alipaa Mbinguni akawaswalisha Akina Ibrahimu, Musa na Yesu:
Ukiwa tu na japo D Moja utaiona wazi kabisa Qurani kuwa ni MANENO ya kubumba bumba tu:
Aya zote za Qurani hazina Mwandishi wake:
Unaikuta Sura tu imekaa pale: mwandishi kajificha:
Hata Gazeti la Nipashe kila habari ina jina la kumtambulisha mwandishi Tena wanaweka Hadi namba za Simu zao:
Kwa Hilo tu la kujificha waandishi wa Aya, Qurani inajiondoa katika maandishi ya kuaminika na jamii iliyo staarabika;
Injili siyo ya Musa, Musa yake taurati
Injili ni ya issa bin Maryam na katika mabaki hayo ya injili tunaona yesu anaulizwa 'wewe ni ni nabii yule' na akakataa siyo yeye, maana yake kuna nabii aja
Mousa alikuwa akiongea kiarabu??? Msaada please! Vipi kuhusu David, Solomon etc?
Huo ni utapeli kupitia dini.
Torati ilikuwepo ziaidi ya miaka 1,000 kabla ya Mohamad, na hakuna sehemu yoyote katika torati ya Musa, palipo na neno Muhamad wala uislam. Kudai kuwa Musa alitabiri atakuja mtu anaitwa Mohamad, ni uwongo na utapeli wa hali ya juu.
Ndio maana katika tawala za Kiislamu ukisema tu "thibitisheni maneno ya Muhamadi"Huo ni utapeli kupitia dini.
Torati ilikuwepo ziaidi ya miaka 1,000 kabla ya Mohamad, na hakuna sehemu yoyote katika torati ya Musa, palipo na neno Muhamad wala uislam. Kudai kuwa Musa alitabiri atakuja mtu anaitwa Mohamad, ni uwongo na utapeli wa hali ya juu.
Injili siyo ya Musa, Musa yake taurati
Injili ni ya issa bin Maryam na katika mabaki hayo ya injili tunaona yesu anaulizwa 'wewe ni ni nabii yule' na akakataa siyo yeye, maana yake kuna nabii aja
Kwa hiyo Quraan kwa kiasi kikubwa inazungumzia historia kubwa ya waisrael?Mussa alikuwa Muebrania.
Alizaliwa utumwan Misri.
Na baadae kuwatoa wana wa Israel Misri kwenda Kaanani (palestina) ila hakufika.
Sina uhakika Ni lugha gan alikuwa anazungumza ila sio Kiarabu.
Unaruka huku na kule kutafuta nmakosa katika uislamu , ukipewa hoja ambazo zinakugusa na imani yako ghafla unatafuta chengineAnzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? ππππ
Maneno ya Mussaπππ
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"
Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird
Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
βIbrahim ametajwa katika Biblia na Qurβanβ
bila kumaanisha kwamba Ibrahim aliijua Qurβan.
βNitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zao.β
βHukuwahi kusoma kitabu chochote kabla ya hiki, wala hukukiandika kwa mkono wako.β
Kwa hiyo Quraan kwa kiasi kikubwa inazungumzia historia kubwa ya waisrael?
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? ππππ
Maneno ya Mussaπππ
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"
Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird
Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
Mnateseka sana biblia ukristo haujawahi kumtambua muddy,na hitokuja kutokea ikamtambua mana mafundisho yake ni tofauti kabisa na ukristo.Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157
Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu.
Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili.
Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?.
100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu.
Kaunganisha unganisha visa na hadith za Kiyahudi na kuja na dini yake.
Eti wahyi. Wahyi? ππππ
Maneno ya Mussaπππ
Quran 7 : 157
"Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa"
Naomba utetezi
Jagina adriz Kazakh destroyer Covax gallow bird
Cc ndugu zangu katika imani
hamis77 Dumas the terrible Che mittoga Infropreneur
Unaruka huku na kule kutafuta nmakosa katika uislamu , ukipewa hoja ambazo zinakugusa na imani yako ghafla unatafuta chengine
Kama unaamini hivyo unachelewa nini kuamini Kristo Yesu ni mwana wa Mungu.Muhammad hakujua kusoma wala kuandika so hawezi kopi vitabu vya wayahudi,ikukae akilini kuwa mpaka 1200 ulaya waliokua wanajua kusoma na kuandika ni viongozi wa dini,kuna hadi mfalme wa uingereza hakujua kusoma na kuandika
Historia za manabii na jamii zao zimeelezewa kiusahihi kwenye Quran kuliko vitabu vya kiyahudi
Quran ina scientific theories na facts ambazo zimekua proved leo baada ya maendeleo ya saysnsi na tech,mtu asiyejua soma na kuandika iweje aje na facts hizo
MUSA nabii wa Mungu,kudai kuwa Musa alijuaje kutakua na kitabu kitaitwa injili ni sawa na kuhoji ikiwa Mungu alijua patakua na kitabu kitachoitwa injili, tatizo huo upande wenu mnayachukulia manabii kama mnavyowachukulia akina Paulo,mwamposa na mwingira