Unyamaze, tena unyamaze kabisaaaa, hata kama unakula makombo ya chini ya meza.Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
Sinyamazi katiba inaniruhusu kuongea. Mtaumia sana. Huu ndo ukweli nchi imefunguliwa.Unyamaze, tena unyamaze kabisaaaa, hata kama unakula makombo ya chini ya meza.
Hii siyo Quran mkuu hii hadith za mtume kama zilivyonukuliwa na BukhariMimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
kwahiyo mipango yenu ya maendeleo ni kuungana mikono...kye kye kyeee!!!Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
Kabisa. Nakuunga mkono. Kwa sasa mambo yapo vizuri kabisa. Hizo shida hazipo. Na nimsikie mtu anasema negative juu ya samia.Wamepita Marais watano kabla ya huyo Mwanamke, hao Marais ambao ni wa kiume mbona hawajaifanya Bongo kua Newyork? Maji hakuna, Umeme hakuna, Barabara mbovu, Afya mzigo, teknolojia sifuri....
Tafakari, chukua hatua.
Wote wenye jinsia ya kikeNani? Margaret au Bi Markel?
Hili kosa linatakiwa lisijiludie tena aise,Hawana nguvu kabisa zaidi wanaharibu Umeme mpaka Leo ahadi za uongo tu nakumbuka tarehe 16 ilikua mwisho wa kukatika katika kwa Umeme ila mpaka Leo hakuna jipya.
Maendeleo yao kabda maana haki sawa anajitahidi kweli
Yaani kwa wewe kupata mimba ndio nchi imefunguliwa,labda kama uchi umefunguliwa na umepata mimba.Sinyamazi katiba inaniruhusu kuongea. Mtaumia sana. Huu ndo ukweli nchi imefunguliwa.
Pamoja na hayo hebu jaribu kutafuta nchi ya kiislam inayoongozwa na mwanamke utujuze kama ipo.NI vyema kujifunza au kufanya utafiti wa jambo kabla kuliweka bayana......
Quran sio hadith
Allah mwenyewe hana heshima kwa wanawake Huyu apa anasema wapigweInaruhusu ila inategemea na mazingira,
Pia iyo aliyo iweka hapo sio Qur’an
Hii ni Hadithi,sio Qur'an,tofautisha Qur'an na Hadithi.,Hadithi ziko sahihi nz zisizosahihi.Bi Khadija(mke wa Mtume,alikuwa Kiongozi,na Mtume alifanyakazi chini yake(Biashara),na biashara ilikuwa kubwa sana,ya Ku export bidhaa nje ya nchi.Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
Wewe huelewi Qur'an,hapo ni 1.Wapewe NasahaAllah mwenyewe hana heshima kwa wanawake Huyu apa anasema wapigwe
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Hii ni Hadithi sio Qur'an.Tofautisha hadithi nà Qur'an.Kama unamaanisha kumpigia chapuo mama, hii itakuwa kinyume chake, na hayo ni kati ya maandishi ya kipuuzi kabisa toka kwenye vitabu vya dini,
Yakiwa na nia ya kumnyanyapaa mwanamke na kuendekeza mfumodume.
Waislamu kwa Nini waliandika uongo kuhusu Muhammad?.,Hadithi ziko sahihi nz zisizosahihi.
Wapi imeandikwa kipigo Cha kawaida ?Wewe huelewi Qur'an,hapo ni 1.Wapewe Nasaha
2.Muwahame
Ukiwa umeshawahama,kuna kuwapiga tena,tumia maarifa.
Hapo sio kuwapiga, kwa ngumi,ni kwa kipigo cha kuwahama.
mbona malkia wa sheba aliiongoza KUSHI?[ETHIOPIA} na iliendelea mpaka mfalme suleiman akaisikia na akazaa na huyo mwanamke??Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.
Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?
View attachment 2908698
si unaona jamaa aliepost anajiita CHIZI MAARIFA!!Hakuna Qur’an inayoitwa “Swahih al-Bukhar”
Huu ni upotoshaji wa wazi kabisa mleta mada