Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Unyamaze, tena unyamaze kabisaaaa, hata kama unakula makombo ya chini ya meza.
 
Wamepita Marais watano kabla ya huyo Mwanamke, hao Marais ambao ni wa kiume mbona hawajaifanya Bongo kua Newyork? Maji hakuna, Umeme hakuna, Barabara mbovu, Afya mzigo, teknolojia sifuri....

Tafakari, chukua hatua.
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Hii siyo Quran mkuu hii hadith za mtume kama zilivyonukuliwa na Bukhari
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
kwahiyo mipango yenu ya maendeleo ni kuungana mikono...kye kye kyeee!!!
 
Wamepita Marais watano kabla ya huyo Mwanamke, hao Marais ambao ni wa kiume mbona hawajaifanya Bongo kua Newyork? Maji hakuna, Umeme hakuna, Barabara mbovu, Afya mzigo, teknolojia sifuri....

Tafakari, chukua hatua.
Kabisa. Nakuunga mkono. Kwa sasa mambo yapo vizuri kabisa. Hizo shida hazipo. Na nimsikie mtu anasema negative juu ya samia.
 
Hawana nguvu kabisa zaidi wanaharibu Umeme mpaka Leo ahadi za uongo tu nakumbuka tarehe 16 ilikua mwisho wa kukatika katika kwa Umeme ila mpaka Leo hakuna jipya.
Maendeleo yao kabda maana haki sawa anajitahidi kweli
Hili kosa linatakiwa lisijiludie tena aise,

Kibaya Zaidi walio chini yake ni walugaluga, waloho, kupita kiasi... Kupambana nao inakuwa ni ngumu sana...

ITOSHE TU KUSEMA MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU.
 
Kichwa habari kinasema Quran
Content inaonyesha hadithi 🤔
 
Inaruhusu ila inategemea na mazingira,
Pia iyo aliyo iweka hapo sio Qur’an
Allah mwenyewe hana heshima kwa wanawake Huyu apa anasema wapigwe
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
Hii ni Hadithi,sio Qur'an,tofautisha Qur'an na Hadithi.,Hadithi ziko sahihi nz zisizosahihi.Bi Khadija(mke wa Mtume,alikuwa Kiongozi,na Mtume alifanyakazi chini yake(Biashara),na biashara ilikuwa kubwa sana,ya Ku export bidhaa nje ya nchi.
Waislamu pia,wanafuata Maelekezo mengi ya Hadithi zilizo sahihi,kutoka kwa Mtume,kupitia Bi Aisha(mwanamke).
 
Allah mwenyewe hana heshima kwa wanawake Huyu apa anasema wapigwe
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Wewe huelewi Qur'an,hapo ni 1.Wapewe Nasaha
2.Muwahame
Ukiwa umeshawahama,kuna kuwapiga tena,tumia maarifa.
Hapo sio kuwapiga, kwa ngumi,ni kwa kipigo cha kuwahama.
 
Kama unamaanisha kumpigia chapuo mama, hii itakuwa kinyume chake, na hayo ni kati ya maandishi ya kipuuzi kabisa toka kwenye vitabu vya dini,

Yakiwa na nia ya kumnyanyapaa mwanamke na kuendekeza mfumodume.
Hii ni Hadithi sio Qur'an.Tofautisha hadithi nà Qur'an.
 
Pmj na Kwamba wee Ni aidu wangu namba moja humu Ila una kahoja fln hivi
 
Wewe huelewi Qur'an,hapo ni 1.Wapewe Nasaha
2.Muwahame
Ukiwa umeshawahama,kuna kuwapiga tena,tumia maarifa.
Hapo sio kuwapiga, kwa ngumi,ni kwa kipigo cha kuwahama.
Wapi imeandikwa kipigo Cha kawaida ?
 
Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu.

Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au nasema uongo?

View attachment 2908698
mbona malkia wa sheba aliiongoza KUSHI?[ETHIOPIA} na iliendelea mpaka mfalme suleiman akaisikia na akazaa na huyo mwanamke??
 
Back
Top Bottom