Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Hivi kwa takwimu zilizopo mkioa wanne wote watapata wake kweli?Nahisi ilimu Yako kumkichwa bado
Unajua unaweza ona mwenzio kumkichwa hakuna kitu kumbe we ndo bogasi kabisa

Cha Kwanza hiyo ni RUHUSA si lazima kwahiyo si kila mwanaume muislamu anaoa wake wanne,wengine wanaoa mmoja au wawili

Pili,si wanaume wote ni wanaume,kuna mahanithi na mashoga wengi Tu,hao wote hawawezi kuoa

Tatu wanaume ndio hufa Sana kuliko wanawake

Nne si wanaume wanaoa kutokana na sababu mbali mbali.

Umeona ubogasi wako!
 
Na dhumuni la kuleta dini ni kuvuruga umoja wetu na walifanikiwa sana unakuta vijana mashababi kabisa hawawazi la maana zaidi ya kwenda peponi cha ajabu viongozi wanakwiba wageni wakija wanakwiba mali zetu sisi kazi yetu ni kubishana nani ni bora kati ya Muhammad na Yesu wakati huo huo wachawi na walizi hawapungui tena wanajua siti za mbele huko kanisani na mstari wa mbele huko msikitini piga picha usukuman makanisa kama yote uchawi kwanza mwisho nenda pwani kuanzia tanga all the way to mtwara ambako uislam umetamalaki lakini ulozi mazongo kubamizana mabusha ndio kawaida na swala tano kama kawa
Ndio ujinga uliokithiri baina ya watanzania.. ukiona watu wana bishana dini hao ni wajinga sana.Sijui lini tutabadilika..Hata huku JF mada za Udini kila siku,Watu ni kubishana ujinga wa UDINI.

Dini ni utumwa wa kifikra kwa watanzania wengi sana.
 
Hivi Quran inaposema jua linazama kwenye matope inasema ukweli ama uongo?

Quran inaposema mwezi na jua ni majirani wanafikia hatua ya kuombana chumvi inasema ukweli ama uongo?
Lete ushahidi wa uyasemayo hlf nikufundishe
 
Weka ushahidi kupinga kama wanaums hawatapewa mabikra 72 peponi

Pia weka ushahidi kama wanawake wa kiislam peponi watapewa nini ?
Naona baada ya kukujibu umekimbia kabisaa m nishakupa majibu yangu

Nasubiri jibu lako
 
Kuna sehemu nimepinga?, weka huo mstari hili tuamini huo ukweli kuwa Bible nayo ilizungumzia hivyo
Hapana ndugu zanguni.huo mstari hutaukuta.wala sio kwa nia mbaya.ipo hivi!! Vitabu alivyoleta mungu ni vinne(4). Muslim wanapaswa kuviamini vitabu vinne ambavyo vipo kwenye mafundisho yao.navyo ni TORATI ,Zaburi,INJILI NA QURAN.
Kila kitabu kilikuja kutokana na watu wa kipindi hicho.ndio maaana kwa vile cha mwisho ni quran kilibid kiwe na mambo mengi ambayo yataendana na wakat huu na pia kina mambo mengi ambayo hata kwa karne hii bado hayana utaaalam ingawa vingi vimeshaelezwa.mfano the big bang theory. Hii toka karne ya saba ilikuwa tayari imeelezwa.google tu utaona wala haiihitaji degrees kuelewa.
Hakuna muslim atayekuwa na akil timamu aliyesoma japo kidogo ukamkuta anakiponda kitabu katika vinne hivyo, ingawaje ni kweli inafahamika vimetiwa mikono na waandishi.
All un all sabab the Koran was the last book god ali decide kuweka password ili kisiwe manipulated kama vile vingine.
So umeonyesha verse ya idad ya watu kuwa wanawake weng.ni kweli hio verse huwez kuikuta kwenye vitabu vingine kwa maana hio verse ingekuwepo kipindi hicho isingeeleweka.kipind hicho hawakuwa na utaaalam wa sensa sasa ingewachanganya.Science imethibitisha vitu vingi vilivyoandikwa kwenye Koran why? Simply kwa sababu imekuja katika wakati wake.
Koran ni mchanganyiko wa vitabu vyote vinne4. Mambo ni mengi utamaliza bahari kama ingekuwa wino na miti kama ingekuwa ndio kalamu kuweza kutoa ufafanuzi.
 
Kama kweli iliandika hvo je ilitoa hitimisho gani?, au ili fumbua vp hilo fumbo?, hapo ndipo Quran inapobeba ushindi tena wa wazi wazi,

Rejea Qur-an na mafunzo ya mtume ili kuweka uwiano na kuondosha uchafu yapaswa mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ili wengine wasikose waume ila kwa sheria ya ki kristo LAZIMA wanawake watakosa wakuwaoa
Kwahiyo unaamini kuoa wanne wanne watapungua kwa asilimia ngapi?
 
Hapana ndugu zanguni.huo mstari hutaukuta.wala sio kwa nia mbaya.ipo hivi!! Vitabu alivyoleta mungu ni vinne(4). Muslim wanapaswa kuviamini vitabu vinne ambavyo vipo kwenye mafundisho yao.navyo ni TORATI ,Zaburi,INJILI NA QURAN.
Kila kitabu kilikuja kutokana na watu wa kipindi hicho.ndio maaana kwa vile cha mwisho ni quran kilibid kiwe na mambo mengi ambayo yataendana na wakat huu na pia kina mambo mengi ambayo hata kwa karne hii bado hayana utaaalam ingawa vingi vimeshaelezwa.mfano the big bang theory. Hii toka karne ya saba ilikuwa tayari imeelezwa.google tu utaona wala haiihitaji degrees kuelewa.
Hakuna muslim atayekuwa na akil timamu aliyesoma japo kidogo ukamkuta anakiponda kitabu katika vinne hivyo, ingawaje ni kweli inafahamika vimetiwa mikono na waandishi.
All un all sabab the Koran was the last book god ali decide kuweka password ili kisiwe manipulated kama vile vingine.
So umeonyesha verse ya idad ya watu kuwa wanawake weng.ni kweli hio verse huwez kuikuta kwenye vitabu vingine kwa maana hio verse ingekuwepo kipindi hicho isingeeleweka.kipind hicho hawakuwa na utaaalam wa sensa sasa ingewachanganya.Science imethibitisha vitu vingi vilivyoandikwa kwenye Koran why? Simply kwa sababu imekuja katika wakati wake.
Koran ni mchanganyiko wa vitabu vyote vinne4. Mambo ni mengi utamaliza bahari kama ingekuwa wino na miti kama ingekuwa ndio kalamu kuweza kutoa ufafanuzi.
Mbona ulichokiandika hakieleweki umeulizwa ni wapi waliposema wanawake watakuwa wengi sana kuliko wanaume?
 
Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume "

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ

الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Hapo mimi naona neno 'wengi' linatoa sifa kwa maneno yote mawili - wanaume na wanawake. Neno hilo 'wengi' halioneshi ulinganishaji.
 
Lete ushahidi wa uyasemayo hlf nikufundishe
Huna cha kunifundisha wewe.

Hii hapa tumeijadili sana humu.
 
Huna cha kunifundisha wewe.

Hii hapa tumeijadili sana humu.
Ukishaelekeza ubongo kua ni hiki kitu ni F hua sitki malumbano ya kukwambia icho kitu ni H mna akili ya ubishi itakua mbele kuliko akili ya kutaka kujifunza
 
Kwahiyo hicho kilichoandikwa sio cha kweli ?
 
Ukweli ni kwamba Katika Uislam, Mwanamke hana thamani yeyote ile, ndio maana Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam watakaoingia peponi watapewa nini
@FRESHMAN hizo ni kanuni za kimaumbile mzeee acha ushamba,ndio nyinyi mnaotaka wanawake pia waolewe na mwanaume zaidi ya mmoja ? Inawezekana vip na yeye atawapangia zamu? Akipata mimba hajui mimba ya nani? Akiwa na mimba bado atakuwa leo anakuja mume huyu kesho mume yule? Mwanaume unaenda kwa mke wenu ambae ana mtoto sio wako unakaa nae siku mbili za zamu ,hivyo hivyo eti??
Pumbavu.
 
Ukishaelekeza ubongo kua ni hiki kitu ni F hua sitki malumbano ya kukwambia icho kitu ni H mna akili ya ubishi itakua mbele kuliko akili ya kutaka kujifunza
Nikuhakikishie, huna kipya naweza kujifunza kutoka kwako, huna.
 
Quran kukataza mwanamke kuonyesha maungo yake ua mwili ndy kutokuwa na thamani Kwa mwanamke?

Mwanamke ni wa kumstarehesha mumewe tu.

Haya mambo mengine ni kujitafutia matatizo.

UISLAMU UNGEKUWA UMEMPA THAMANI MWANAMKE HIZI VERSE TUSINGEZIONA KWENYE QURAN, HADITH NA SUNNAH

Wanawake wana upungufu katika akili zao - Sahih al-Bukhari 304

Muhammad anawafananisha wanawake wapo sawa na mbwa na punda - Sahih al-Bukhari 511

Mwanaume anaweza kubadilisha mke wake kwa mwingine - Quran 4.20

Wake hawawezi kamwe kufanya vya kutosha kuonyesha shukrani zao kwa waume zao imeandikwa katika Wasifu wa Muhammad na Ibn Ishaq, uk. 644 katika aya ya pili.

Wanawake wanafananishwa na ngamia - Hadithi ya Bukhari 8.73.68

Muhammad considered women as evil and compares marrying a woman with buying a slave or a camel - Abu Dawood, Book 11, Number 2155

Muhammad compares women to devils - Muslim: Book 008, Number 3240
( Muhammad analinganisha wanawake na mashetani - Muslim: Kitabu 008, Nambari 3240)

Hakuna watu watakaofanikiwa milele wanaomteua mwanamke kuwa kiongozi wao. Sahih al-Bukhari (hadith namba 4425).

Wanawake wamepinda kama mbavu. Unapojaribu kuwanyoosha, hupasuka. Kwa hivyo ukitaka kufaidika kutoka kwake, fanya hivyo akiwa bado ana upotovu fulani. Sahih al-Bukhari 7.62.114
 
Mkuu wewe ni empty fresh man kama uislamu haumpi thamani mwanamke weka aya kutoka ktk Quran ikisema hvo, duniani kitabu kinachompa mwanamke thamani ni Quran ,htaki siku lazimishi

Uelewa wako ni mdogo sanaaa

Hlf m nimekuuliza chengine ww unaleta chengine
Nimekwambia niletee huo ushahidi wa mabikra 72 naona ukaja na mada nyingine kabisaa jibu swali uloulizwa usikimbie swali
 
Back
Top Bottom