Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Quran na idadi ya watu ulimwenguni

Sio kwamba napiga ila ukweli ni kwamba alieandika Quran na wanaoiamini wote akili zao zinafanana, zero brain.
Sawa KAFIRI nimekusikia
Wakorintho 1:25 NEN

Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, nao udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.

Sasa kwa maneno hyo ya bible yenu sijui nani hana akili tena zero brain
 
Uelewa wako ni mdogo sanaaa

Hlf m nimekuuliza chengine ww unaleta chengine
Nimekwambia niletee huo ushahidi wa mabikra 72 naona ukaja na mada nyingine kabisaa jibu swali uloulizwa usikimbie swali

Ushahidi nakuwekea wa Quran, hadith na sunnah

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
 
Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume "

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ

الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا
Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaangalieni.
Kwahiyo Quran imesanganya siyo maana wanaume ni wengi kuliko wanawake ulimwenguni
 
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Enheee ubaya uko wapi hpo?
 
Kwanza kusema wanawake ni wengi kuliko wanaume ni stori za kwenye vijiwe vya kahawa kutakwimu wanaume ni wengi kuliko wanawake
Screenshot_20221108-103823_2.jpg
 
Isa 4:1 SUV

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Kipindi anaandika haya, wanaume walikuwa wengi kuliko wanawake? Na wanawake walikuwa hawatakani kuwa na mwanaume?
 
Enheee ubaya uko wapi hpo?

Ulisema kwa kishindo

Nimekwambia niletee huo ushahidi wa mabikra 72 naona ukaja na mada nyingine kabisaa jibu swali uloulizwa usikimbie swali

Nimekuwekea ushahidi ulioutaka . Hiyo itakuwa pepo ama danguro.. yaani kutombanaz tu na mabikra 72
 
Nishakwambia kua we bado sanaa kasome kwanza
Huna uwezo wa kujadili mambo ya Elimu ya Uislamu

Akili zako za kawaida usitake kujadili mambo ya dini kwa fikra yko ndogo iyo
 
Nishakwambia kua we bado sanaa kasome kwanza
Huna uwezo wa kujadili mambo ya Elimu ya Uislamu

Akili zako za kawaida usitake kujadili mambo ya dini kwa fikra yko ndogo iyo

Sema wapi nimedanganya mpaka useme nina fikra ndogo.. sema wapi nimesema uongo. Uligoma kuhusu mabikra nikakuwekea verse, uligoma kuhusu thamani ya mwanamke nikakuwekea ushahidi.

Unapotaka kubishana na mimi uwe umejipanga vizuri.. maana quran, hadith na sunnah nazijua vizuri kuliko hata wale waliokariri wanaziimba ki arab madrassa huku hawajui maana ya maneno waliyoyakariri

mimi huwa naweka facts nikiambatanisha na evidence kutoka kwenye quran, hadith na sunnah.
 
Haha wanadai allah hafananishwi na chochote halafu wanamsaidia kutoa adhabu,hawaoni kama tayari washamfananisha na wasiojiweza[emoji23]?

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Hayo ni mataahira mkuu.

Huyo allah kama kweli yupo basi ni kiumbe aliechanganyikiwa . Leo amasema hivi kesho vile, completely a crazy creature..
 
Mkuu wewe ni empty fresh man kama uislamu haumpi thamani mwanamke weka aya kutoka ktk Quran ikisema hvo, duniani kitabu kinachompa mwanamke thamani ni Quran ,htaki siku lazimishi
Tatizo ni kua waislam kitu kikisha husu uislam huezi discuss nao ata kiwe na mapungufu Gani. Angalau wa kristo Kuna mda wanakaa wanaona ivi vitu haviko sawa ula upande wa pili yn ni ushabiki hawatakiw tumia utashi wao
 
Umesema ukweli ndugu. Mimi nawapa mistari na mafundisho ya vitabu vyao wenyewe..

Kama kuna sehemu nimesema uongo waseme..

Hawajui hizi zama za google huwezi kumdanganya mtu kizembe
 
Mkuu wewe ni empty fresh man kama uislamu haumpi thamani mwanamke weka aya kutoka ktk Quran ikisema hvo, duniani kitabu kinachompa mwanamke thamani ni Quran ,htaki siku lazimishi
Mpe heshima kwa kumppa kichapo ,

Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
Ukweli ni kwamba Katika Uislam, Mwanamke hana thamani yeyote ile, ndio maana Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam watakaoingia peponi watapewa nini

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

UISLAMU UNGEKUWA UMEMPA THAMANI MWANAMKE HIZI VERSE TUSINGEZIONA KWENYE QURAN, HADITH NA SUNNAH

Wanawake wana upungufu katika akili zao - Sahih al-Bukhari 304

Muhammad anawafananisha wanawake wapo sawa na mbwa na punda - Sahih al-Bukhari 511

Mwanaume anaweza kubadilisha mke wake kwa mwingine - Quran 4.20

Wake hawawezi kamwe kufanya vya kutosha kuonyesha shukrani zao kwa waume zao imeandikwa katika Wasifu wa Muhammad na Ibn Ishaq, uk. 644 katika aya ya pili.

Wanawake wanafananishwa na ngamia - Hadithi ya Bukhari 8.73.68

Muhammad considered women as evil and compares marrying a woman with buying a slave or a camel - Abu Dawood, Book 11, Number 2155

Muhammad compares women to devils - Muslim: Book 008, Number 3240
( Muhammad analinganisha wanawake na mashetani - Muslim: Kitabu 008, Nambari 3240)

Wanawake wamepinda kama mbavu. Unapojaribu kuwanyoosha, hupasuka. Kwa hivyo ukitaka kufaidika kutoka kwake, fanya hivyo akiwa bado ana upotovu fulani. Sahih al-Bukhari 7.62.114

Hakuna watu watakaofanikiwa milele wanaomteua mwanamke kuwa kiongozi wao. Sahih al-Bukhari (hadith namba 4425).

No people will ever prosper who appoint a woman in charge of them.(Bukhari Al-Jami as-Sahih, hadith no. 4425)
Mimi ni Mkristo lakini nimekuja kugundua kuwa Makristo wengi Wana roho mbaya sana.
Uzungu umewaharibu Sana Makristo wamekua watu wa hovyo kuliko viumbe waovu wanaoutwa majini.

Wakristo tubadilike . Korani ni kitabu kilichoeleza mambo Kwa ufasaha sana.Agano la kale na Korani vinashabihiana sana . Mtume Mohamad ameeleza mambo Mengi sana ambayo ndiyo wakristo wanayatumia bila kujua. Uislam ni mfumo wa kimaisha kama ulivyo uzungu Kwa Makristo wa uongo wazungu na upagani wao ambao haupo kwenye Biblia.

Wapi umeona Papa Mwanamke?
Au uongozi unaoujua ni WA kisiasa TU unasahau kuwa uislam ni mfumo.
Ukristo aliouanzisha Yesu ulikua ni mfumo wa maisha lakini Wazungu wakauteka na kuuweka chini ya siasa uchwara.
Wapi uliona Padri Mwanamke! ? Hayo ni Kwa wakatoliki ambao ndio walio na maendeleo na mafanikio makubwa sana ukilinganisha na madhahebu mengine. Huoni kuwa wanajua Siri ya kutimweka Mwanamke juu yao.

Hivi huoni mifano yote aliyoitoa Mtume ni ya kweli na Haina shaka . Au ulitaka awe Mnafiki kama walivyo Mitume feki. Jamii inapotoka Kwa unafiki.
Hivi huoni kuwa Mtume ameongea kile alichokiona kwenye ulimwengu wa kiroho.

Huoni kuwa Suleiman alikua na Wanawake 1000 akiwa hapa Duniani?

Hujatambua TU kuwa Kuna tofauti kati ya kuingia kwenye Ufalme wa Mungu na kuingia Peponi?
Ufalme wa Mungu ni kwenda kutawala pamoja na Kristo. Lakini Peponi wanadamu wenye matendo mema watarudishwa Peponi kana Adamu na wataishi maisha ya Raha na starehe Kwa sababu Duniani walijinyima na kujiweka mbali na dhambi.
Kwa hiyo Peponi ni starehe ma Raha TU.

Wakristo Wana mapungufu Mengi sana kwenye tafsiri ambayo hata Biblia inawapinga lakini ndio msimamo wao na uheshimiwe Mungu atahukumu Mwenyewe .

Waislam Wana Imani yao na matarajio yao Huko Peponi . Ni uhuru wao na sio eti Wanawake hawana thamani!
Hivi mtu akiwa na watoto wengi ndio kwamba hawana thamani ?
Thamani ya mtu ni mtu Mwenyewe na tabia zake.
Ndio za mke mmoja Kwa wakristo mbona ndio zenye matatizo na unyama mkubwa na usaliti ukilinganisha na waislam? Wanaume wengi wa kikristo faraja yao ni Pombe . Hivi mtu ana mke mmoja TU kama mzazi anapata wapi muda wa kukesha kwenye baa kila siku.?
Anakaa na mke wake saa ngapi au ndio kila siku anarudi saa nane usiku akiwa amelewa;? Huo ndio Ukristo sahihi?

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako.

Ukiweka pembeni chuki dhidi ya Imani za watu wengine itakusaidia kuwaelewa au kuwavumilia.
 
Back
Top Bottom