Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

itakuwa hujasoma kwani nimekuwekea zaidi ya aya moja
 
Ukishamaliza kutapika , tuwekee aya za quran na biblia kuthibitisha maneno yako
Kuhusu upendeleo wa allah soma Quran 33:50.Yeye peke yake karuhusiwa kuoa wanawake zaidi ya kumi,tena hadi binamu zake.Muislam gani Leo karuhusiwa kuoa wanawake zaidi ya wanne? MUNGU wa mbingu na nchi Hana sifa ya upendeleo.Akitoa amri ni kwa wanadamu wote.Sio eti hii inamuhusu nabii peke yake,hii inahusu watu Fulani,n.k.Ndiyo maana Muhammad kajiwekea defense mechanism eti vitabu vyote vimetiwa mikono kasoro cha kwake tu🤣🤣.Tukiuliza;"huyo MUNGU alisinzia wakati watu wake wanaharibu vitabu vyake?Na kama torati yake inaharibiwa yeye anaangalia tu,zaburi,injili,kakaa tu!Halafu leo, MUNGU yule yule aliyeshindwa kulinda vitabu vyake,leo anatuambia atailinda Quran! Kwo sasa ndo amejipanga?Kipindi kile alichelewa kujipanga sio?
*Quran ni visasili
 

Mbona unapakazia , hiyo aya uliyoleta inasema ,

Quran 33:59 in Swahili (Kiswahili):

"Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu

Isome vizuri please , bila jaziba , halafu jaribu kuandika kwa mpangilio , usichanganye changanye kila topic
 
Huyo allah wenu aliyewafundisha chuki na fujo kwa watu wengine.
Hivi alishindwa nini kuwauwa watu wasio waislam hadi awaambie nyie muwaue!!.? Maana kila uchao wanazaliwa wasio waislam.
Yaani katika Iman za hovyo zilizopo duniani Islam is no.1.
Dini gani hii inayohamasisha mauaji Kwa binadamu mwenzio aliyeumbwa na Mungu!!?.
Yaani Kwa uwezo alionao Mungu ashindwe kuua ungali tumboni kwa mama yako aje akupe wewe kazi ya kuua?!.
Nyambafu kabisa na huyo mtume wenu aliyewafundisha ujinga.
 
Wapi imeandikwa asiyejua kiarabu ni mtu wa motoni ??

Jibu swali

Kwa mujibu wa biblia watu wote mwanzo wakiongea lugha ipi ??
Hakuna anaye jua ni lugha ipi...
 

Taurati (Tawrat) na Injili (Injeel) hazikuhifadhiwa kama Qur’ani kwa sababu zilitolewa kwa jamii maalum katika nyakati maalum.

Binadamu, kutokana na mabadiliko (tahrif)—ama kwa kuharibu maandiko au kwa tafsiri potofu—alihitaji wahyi wa mwisho na kamili, yaani Qur’ani.

Wakristo, kwa upande mwingine, wanaamini maandiko haya yalihifadhiwa, yakatimiza kwenye Yesu, na Biblia ni neno la Mungu.

Waislamu wana hoja kuwa hifadhi ya kipekee ya Qur’ani inahakikisha mwongozo usiobadilika kwa nyakati zote, jambo kuu linalotoa tofauti msingi kati ya imani hizo.
 

Attachments

  • Bibles.mp4
    8.2 MB

Mbona Biblia ndiyo ilianza zamani kusema wauliwe au huijui biblia yako ??
 
Umeandika :

Ilhali Injili iliandikwa na Wanafunz wa Yesu.

Kumbe Paulo naye alikuwa mwanafunzi wa Yesu ?
Kwahiyo Paulo alikuwa Mwanafunzi wako? Hivi hujui kuwa hata mimi ni Mwanafunzi wa Yesu?

Rejea Mathayo 28:19 "Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa Wanafunzi ..." Sasa hapo unafikiri ni kuwafanya kuwa Wanafunzi wa nani kama siyo wa Yesu?
 

Biblia ina mfano wa amri za Mungu za kuua watu chini ya hali mbalimbali:


  1. Wasiokuwa Wanafunzi wa Mungu – yeyote asiyetafuta Bwana alitimuliwa. (2 Chronicles 15:12-13)
  2. Manabii wa uongo – kuuliwa ili kuondoa uongo na kuchochea uvunjaji wa agano. (Zechariah 13:3; Deuteronomy 13:1-5)
  3. Wafuasi wa miungu mingine – watu wote wanaoabudu miungu mingine walihukumiwa kifo, pamoja na mji mzima ikiwa mmoja atamtii miungu mingine. (Deuteronomy 13:13-19; 17:2-5)
  4. Uchunguzi wa uzinzi na uasherati – wanawake wasio wanyofu katika ndoa walitekwa na kuuliwa. (Deuteronomy 22:20-21)
  5. Kudhihirisha kuasi – maneno ya Mungu yanahusisha mauaji ya watu, wanyama, na hata watoto kwa ajili ya dhambi na uasi. (Leviticus 24:10-16; Isaiah 14:21; Joshua 6:20-21)
  6. Kuua kwa Kikundi Kote – miji yote yenye dhambi kubwa, au wale waliokaribia mahali patakatifu bila ruhusa, walihukumiwa kifo. (Exodus 23:23; Numbers 1:48-51; Ezekiel 9:5-7)
  7. Vikosi vya Mungu – malaika au watu waliotumwa na Mungu kuendesha mauaji makubwa, mara nyingi kwa amri ya kulipiza kisasi au kuondoa maovu. (1 Samuel 15:2-3; Jeremiah 50:21-22; 1 Kings 18:36-40)

Muhtasari: Biblia inaeleza kwa urefu kuhusu adhabu za kifo kwa dhambi, uasi, kuabudu miungu mingine, uasherati, na uvunjaji wa agano. Mauaji haya mara nyingi yalitokea kwa amri ya Mungu kwa mujibu wa hadithi za Israeli za kale.
 
Kwahiyo Paulo alikuwa Mwanafunzi wako? Hivi hujui kuwa hata mimi ni Mwanafunzi wa Yesu?

Rejea Mathayo 28:19 "Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa Wanafunzi ..." Sasa hapo unafikiri ni kuwafanya kuwa Wanafunzi wa nani kama siyo wa Yesu?

Kumbe wewe ni mwanafunzi wa 13 wa Yesu na ni mwana Israeli ??

Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mathayo 10.5-6
Katika ufalme wa mbinguni Yesu ana yakini kuwa hatokuwa nao ila wana wa Israili tu.

Injili ya Mathayo inasema:

Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.

Mathayo 19.28
Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.

Yohana 17.9

Tukiyachungua vilivyo maneno ya Yesu kama yalivyosimuliwa na Mathayo na Marko ya kuwa yeye alitumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili, na maamrisho yake yalio wazi kuwapa "mitume" wake wasende kwenye mataifa mengine isipokuwa Mayahudi tu, na kuwa yeye na wanafunzi wake kumi na mbili watakaa katika viti vyao vya utukufu wakizihukumu kabila kumi na mbili za Israili katika ulimwengu mpya wa mbinguni, hatuwezi ila kuhukumu kuwa hao watu anaowaombea Yesu ni hao hao waliokwisha tajwa kabla, yaani wana wa Israili, sio ulimwengu, sio mimi na wewe.

Mimi na wewe si Wana wa Israili. Mimi na wewe ni mataifa mengine.

Mimi na wewe na ulimwengu, usiokuwa wa Kiyahudi, Yesu kesha sema hatuombei, ikiwa tutakubali maneno yaliyoandikwa katika Injili zote.
 
Hiyo aya ya tano umeielewa au umepita tu na tafsiri zako!?..mtume akiletewa aya anawaambia waandike,wakishaandika anawaambia wamsomee aone kama wameandika ndicho,kama huo siyo usimamizi wa uandishi ni nini?

Sawa . Hapa tunaeleweshana.. Naomba Nionyeshe huo mstar ambao unasema " aya za quran baada ya kuandikwa mtume akawa anasomewa na kuhakikisha kuwa yaliyoandikwa ni sawa".
 
Nani alimuona au kumsikia huyo "jibril"? Hakuna evidence. Ni dini ya TRUST ME BRO.
 
Musa ni mwebrania au ni mpalestine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…