Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Umeandika ukweli kabisa. Mungu hatetewi na yeyote na wala hawezi kujitetea kwetu au kwa yeyote, maana hana mpinzani au mshindani. Yeye ni Mkuu sana kwa viumbe wote!Kuna watu wanadhani Mungu anahitaji utetezi wao mbele ya wengine. Wanasahau binadamu sisi kwa sisi ndio tunaohitajiana kusaidiana na kuteteana. Mungu ni mkuu sana kutuhitaji sisi kumtetea... tena tuna mtete dhidi ya nani? Ambaye labda ni tishio kwake? kitabu chochote kuhusu Mungu kikichomwa haimpunguzii Mungu ukuu wake ni swala la mtu binafsi kuamua kwa fikira zake kutoa hasira zake kwa Mungu au watu wanaomzunguka.