Quran yachomwa moto Sweden

Quran yachomwa moto Sweden

Unaleta copy and pasts nyingi pasi na ufahamu Kama huyo uliyemquote bila kujua kuwa Quran ilikuja in piece meal process
Ngoja nikusaidie kuhusu mtu huyo anaye weka hizo anazo dai ni "Contradictions".

Huyo mtu nilishawahi kumwambia aweke aya moja au mbili mbili anazo ona zina contradictions kisha tujadili kimoja baada ya kimoja, hili jambo hakufanya na alikimbia, sababu hana alijualo katika Qur'aan. Kuna siku akajidai kuleta nakala ya Yusuf Ali nikamkosoa akakimbia na kudai kitabu hicho anacho kwa masikitiko makubwa inaonekana hajakisoma.

Shida humu watu si wa kweli na wapo kwa ajili ya ubishani na kuwapotezea watu muda. Unaweza kumjibu mtu leo jambo fulani na ukambana akakosa hoja na kukimbia lakini mtu huyo huyo akarudia kitu hicho hicho kwa mtu mwingine. Sasa watu wa hivi si wa kijadiliana nao sababu hawako kielimu wengi wenye tabia hii ni Wakristo na Wakana Mungu.

Sasa huyo kama anataka kweli mjadala, mwambie aweke nukta moja baada ya nyingine kisha ijadiliwe, kisha baada ya hiyo iwekwe nyingine, huu mtindo anao weka huku hajui anachokiweka inaonyesha akili hana na anapotezea watu muda.

Mimi siwezi kujadiliana nae sababu shughuli yangu anaijua na ana dai ameniweka kwenye "Ignoring list". Sasa wewe nenda nae hivyo na umpe masharti ya kimjadala hakika hawezi kutetea hata kimoja katika hizo anazo dai ni "Contradictions".

Sasa Hawa watu wanatakiwa kujua ya kuwa elimu ni amana na kawaida amana hurudishwa kwa watu wake.
 
Kwani mashia sio waislamu mbona wanaswali na kuadhini kama nyie au kwavile hawavai vipedo kama ninyi ?
Shia ni WAISLAMU muhongo hugo.
Suni ndo walimuua kiongozi wa Shia, miaka ya nyuma sana.
Na suni ndo HAO wenyewe msimamo Mkali sana , wasaudi ni suni kuna kipindi walikataza mpaka wanawake kuendesha magari.
 
hapo subiri mafala yetu huku kuanza kuchoma makazi ya watu kisa quran kuchomwa Sweden.

Mtakumbuka miaka kadhaa nyuma kuna kijana Canada alikojolea quran eti wafuasi wa uislam wakaanza kuchoma makanisa na nyumba za Wakristu hapa nchini ati kulipa kisasi.
Nakumbuka Tukio linatokea huko watu wanareact huku 😃😃😅😅🤣
 
Hhhhhhhhhhhhh pole sanaaa

Dini ilotengenezwa na mtu utaijua tu
Matapeli wengi
Manabii wa uongo wengi
Dhulma nyingi
Maasi mengi mpk munanajisi vitoto huko makanisani

Yni kila upuuzi utaukuta kwenye iyo dini ya wazungu
dini ya wazungu?
 
Kwani mashia sio waislamu mbona wanaswali na kuadhini kama nyie au kwavile hawavai vipedo kama ninyi ?
Hawaswali kama tunavyo swali.
Hawaadhini kama tunavyo adhini.
Hawasomi kama tunavyo soma.
Wanavitabu vyao tuna vitabu vyetu.

Na nimakafiri so ukitumia hadeeth zao na mafunzo yao nawewe pia unakua kafiri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hofu ambayo haipo mbele ya quran ni kuwa hata iteketezwe yote haitapotea waislam wameihifadhi katika vichwa vyao, ibada zao zinafanyika bila kusema fungua kitabu fulan, isipokua inasomwa bila kufunguliwa na hiakosewi hata nukta
 
Ngoja nikusaidie kuhusu mtu huyo anaye weka hizo anazo dai ni "Contradictions".

Huyo mtu nilishawahi kumwambia aweke aya moja au mbili mbili anazo ona zina contradictions kisha tujadili kimoja baada ya kimoja, hili jambo hakufanya na alikimbia, sababu hana alijualo katika Qur'aan. Kuna siku akajidai kuleta nakala ya Yusuf Ali nikamkosoa akakimbia na kudai kitabu hicho anacho kwa masikitiko makubwa inaonekana hajakisoma.

Shida humu watu si wa kweli na wapo kwa ajili ya ubishani na kuwapotezea watu muda. Unaweza kumjibu mtu leo jambo fulani na ukambana akakosa hoja na kukimbia lakini mtu huyo huyo akarudia kitu hicho hicho kwa mtu mwingine. Sasa watu wa hivi si wa kijadiliana nao sababu hawako kielimu wengi wenye tabia hii ni Wakristo na Wakana Mungu.

Sasa huyo kama anataka kweli mjadala, mwambie aweke nukta moja baada ya nyingine kisha ijadiliwe, kisha baada ya hiyo iwekwe nyingine, huu mtindo anao weka huku hajui anachokiweka inaonyesha akili hana na anapotezea watu muda.

Mimi siwezi kujadiliana nae sababu shughuli yangu anaijua na ana dai ameniweka kwenye "Ignoring list". Sasa wewe nenda nae hivyo na umpe masharti ya kimjadala hakika hawezi kutetea hata kimoja katika hizo anazo dai ni "Contradictions".

Sasa Hawa watu wanatakiwa kujua ya kuwa elimu ni amana na kawaida amana hurudishwa kwa watu wake.
Hakika hawa ma atheists uchwara ni janga la ulimwengu
 
Hawaswali kama tunavyo swali.
Hawaadhini kama tunavyo adhini.
Hawasomi kama tunavyo soma.
Wanavitabu vyao tuna vitabu vyetu.

Na nimakafiri so ukitumia hadeeth zao na mafunzo yao nawewe pia unakua kafiri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata makanisa yapo madhehebu mengi yapo ya wachumia tumbo na waongo na wanamkana Mungu,kama ilivyo Kwa hao mashia kama ni kweli unavyodai.
Sio makanisa yote yanahubiri kweli ya Mungu na Injili ya Yesu Kristu.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hapo kanisani hiyo ni hoja ya wazi ijibu na sio maneno yenu yakuokoteza okoteza hapo ni live bob

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hilo sio Kanisa la Mungu lenye kufundisha habari za Injili Takatifu ya Yesu Kristu,hao ni wahuni tu kama wahuni wengine.
The same applies kama unavyosema mashia ni wahuni sio waislamu,kama unavyodai ni kweli.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hilo sio Kanisa la Mungu lenye kufundisha habari za Injili Takatifu ya Yesu Kristu,hao ni wahuni tu kama wahuni wengine.
The same applies kama unavyosema mashia ni wahuni sio waislamu,kama unavyodai ni kweli.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unaongea vizuri ila chini ulitaka kuharibu ulipo sema kuhusu mashia kama ni kweli

Tutaanza kubishana pasi na msingi.

Madam umesema kua hayo ni makanisa ya wahuni basi Amin pia hio hadithi inayo muhusu sahaba ni ya wahuni pia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo huyu alikuwaa swahaba wa muddy alikuwa anagongwa punga nyenye gasho?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Comment kama hizi ndio hua tunazipa picha za makanisa ili waone vitendo vinavyo fanyika makanisani
JamiiForums1563080741.jpg

Back
Top Bottom