Wakatoliki ndio wakristo, wamekuletea bibilia, na mafundisho kibao. Mtu akitaka kuupinga ukristo anaupiga ukatoliki. Nyie visebengo wengine hamna umuhimu na wala sio wakrtisto zaidi ya kupayukapayuka.ichomwe tu
ya nini kwani
ila wakatolik siyo wakristo. wakristo tunatumia biblia tu, ila wao wanaenda kinyume na biblia
Kijana hii ni elimu na tunaisoma kila siku. Unafikiri hii Biblia.Dhaif , ni uongo yani haijakizi vigezo vya kuwa kweli (sahih)
Haitimiki kama rejea ila hutumika kwa ajili ya kuanmrisha jambo au kukataza jambo na hapa wanazuoni wametofautiana.Hadith dhaif unaweza kutumia kama rejea , au kama sunah?
Yani kila ukijibu lazima ukimbilie biblia , biblia iache ni kina kirefu wewe dili na kitabu kidogo kama kipeperushiKijana hii ni elimu na tunaisoma kila siku. Unafikiri hii Biblia.
Nimekuuliza nani amekwambia Hadithi dhaifu ni uongo ? Hujajibu hili swali.Yani kila ukijibu lazima ukimbilie biblia , biblia iache ni kina kirefu wewe dili na kitabu kidogo kama kipeperushi
Dhaif , simple ni uongo huwezi badili hilo mpaka unakufa
Nilikuuliza ilikuwaje hadith za uongo zika chomekwa kwenye kitabu sahih ?