Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Wewe una matatizo kichwani, yaani Kitabu kiitwe sahih halafu kiwe na maandishi ya uongo!! Huyo muislam aliyekiri hayo atakuwa na Akili mbovu Kama zako si bureHujawahi kujibu , na hakuna muislamu amewahi kujibu
- Kuhusu biblia nimekwambia leta wakristo wanaosema ni uongo umeshindwa!
- Maandiko ya waislamu ni waislamu wengi tu wanasema kuna maandiko ya uongo ndani ya vitabu vinavyoitwa sahih , mpaka wewe umekiri na wengi humu wanakiri kuna uongo kwenye maandiko ya waislamu