Nimecheka sana, shida ya kujadiliana na watu ambao hamjabalehe katika hoja na kujenga hoja.
Nikikuuliza ahadi ipo katika wakati gani ? Hujajibu hili swali siyo kwamba unaweza bali huwezi kujibu.
Ulitakiwa usome nilichokiandika kilikupa jibua swali ulilo uliza Sasa lakini kwa ujinga na ujuaji wako hukuona jibu. Nilipo kupa dondoo za majadiliano huko nyuma maana yake nishamjibu zaidi ya mara Moja, ndiyo maana nikakuwekea nukta husika.
Shida ya kuparamia na vitu kichwa mchunga, yule mdau nilimpa muongozo namna nzuri ya kujadiliana na muhusika sababu namjua. Sasa uwe unasoma na kudhibiti mjadala au hoja wapi imetoka, ungekuwa makini usingeuliza maswali ambayo majibu yake yapo tayari.
Acha kupotezea watu muda.