Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Waislam dunia nzima tuandamane.
Kwanini huyu Kafir kachoma kitabu cha Allah.
Kwanini huyu Kafir kachoma kitabu cha Allah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia siyo kitabu Cha kuaminiwa kutokana na namna maandiko yake yalivyo pokewa na kuandika.Lutu sio nabii kwa majibu wa biblia , ila wewe kama una kitabu chako na kinasema kuna mtu anaitwa nabii lutu husichanganye na kitabu kingine
Ndio maana nimekwambia biblia sio kitabu cha kuficha jambo kama lilitokea iwe kwa nabii au mtume au character yeyote
unachosindwa kuelewa ni kwamba Jehovah anakemea dhambi wazi na anachukizwa ila Allah unamkuta anatoa verse za kuruhusu dhambi wazi kabisa na mwisho akampa mtume wake leseni ya kufanya dhambi yoyote anayotaka
Amekwambia nani ya kuwa hiyo ziada ni Allah ? Na hiyo sentensi yako inaleta vipi maana kwa hicho ulichokiweka ?Hivi ni Kwanini Allah ndio awe wa mwisho kuingia Jehanam ?
Yaani atakapo ingia yeye ndio Jehanam itajaa na kufungwa.
Huku ikiimba Qat, Qat, Qat, yaani imetosha imetosha.
Hivi huyu ndio Mungu kweli wa kuijaza Jahanam ?
Sasa wanaomwamini wataenda wapi kama sio kumfuata huko Jehanam.
Surah Qaaf Ayah 30.
يَوۡمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ ٱمۡتَلَأۡتِ وَتَقُولُ هَلۡ مِن مَّزِيدٖ
Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?
(Hiyo ziada ndio Allah)
Safi kabisa haya maneno umeyapata wapi ? Tuweke na matini yake ya Kiarabu.Muhammad had a female slave with whom he had intercourse,
Tuweke ushahidi unao onyesha kipindi cha tukio hilo mama Aisha alikuwa na Miata 9.Akawa wake zake Aisha (mtoto wa miaka 9)
Sasa jambo ambalo tayari amehalalishiwa vipi liwe zinaa ? Kijana unatumia nini kufikiria ?Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed
Jambo liko wazi aliambiwa hivyo kwa kutaka kuwaridhisha wake zake na hili ni kosa. Sababu kile ni hali kwake.kumgombeza Muhammad kwa nini anataka kuacha kula beki tatu
Akashusha Aya tena ya kusema Kam Hafsa na Aisha wataendelea kumletea noma Muhammad Allah ,jibril, Malaika wote mpaka waumini wataingilia kumsaidia Muhammad dhidi ya wanawake hao wawili
- Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
Biblia pekee ndio kitabu chenye Maneno ya Mungu wa kweli. labda nikusaidie tu, Lutu alikuwa mpwa wa Ibrahim, Ibrahim alimlea na kufanikiwa kuwa na wanyama wengi sana, kwani watu hawa walikuwa wafugaji. wala hakuwa nabii, alikuwa mtu tu na alipona mengi kwasababu ya Ibrahim. kuna kipindi baada ya utajiri wa mifugo kuwa mkubwa, maeneo ya kuchunga yakawa machache, wafugaji wa mfugo ya Ibrahim wakawa wanagombana na wafugaji wa mifugo ya Lutu, ndipo Ibrahim akamwambia Lutu kwamba achague bonde analotaka aelekee ili kuamua ugomvi huo, Lutu akachagua bonde lililokuwa limenona sana lenye maji na utajiri wa nyasi, lilikuwa bonde la sodoma na gomora. Ibrahim akabaki bonde lingine. hakujua kuwa huko alikochagua ndiko siku moja Mungu atakuadhibu na kukuteketeza, alikuka kukimbia yeye peke yake na mabinti zake wawili tu (baada ya mkewe kugeuka jiwe la chumvi hadi leo lipo),mifugo na vyote viliteketea kule sodoma na gomora.Biblia siyo kitabu Cha kuaminiwa kutokana na namna maandiko yake yalivyo pokewa na kuandika.
Nini maana ya Nabii, tuanzie hapa. Kwenye Biblia Luti ameongelewa wapi na wapi na alikuwa anafanya kazi gani ?
Kutokuficha mambo si hoja ya kuwa ni sahihi sababu kimeandikwa na watu ambao hawakuwaona hao watu na hawana Chain inayo fika hao watu. Mfano Marko na Luka Hawa hawakumuona Yesu wala hakuna Chain ya upokezi wa habari inayofika kwa Yesu Toka kwao, vipi habari zao mnaziamini na habari za Yesu walizopata wapi ? Ushawahi kuniuliza hili swali ?
Kwa mujibu wa Biblia Nabii ni nani ? Ili tujue Luti ni nabii au siyo nabii ?
Hii aya yako naomba uithibitishe kwa mujibu wa maandiko yenu na Qur'aan, kisha onyesha wapi Allah ameruhusu dhambi na utuonyeshe Mtume wapi alifanya dhambi.
Safi kabisa. Kwahiyo hapo ndiyo habari za Luti zimeisha kwa mujibu wa Biblia.Biblia pekee ndio kitabu chenye Maneno ya Mungu wa kweli. labda nikusaidie tu, Lutu alikuwa mpwa wa Ibrahim, Ibrahim alimlea na kufanikiwa kuwa na wanyama wengi sana, kwani watu hawa walikuwa wafugaji. wala hakuwa nabii, alikuwa mtu tu na alipona mengi kwasababu ya Ibrahim. kuna kipindi baada ya utajiri wa mifugo kuwa mkubwa, maeneo ya kuchunga yakawa machache, wafugaji wa mfugo ya Ibrahim wakawa wanagombana na wafugaji wa mifugo ya Lutu, ndipo Ibrahim akamwambia Lutu kwamba achague bonde analotaka aelekee ili kuamua ugomvi huo, Lutu akachagua bonde lililokuwa limenona sana lenye maji na utajiri wa nyasi, lilikuwa bonde la sodoma na gomora. Ibrahim akabaki bonde lingine. hakujua kuwa huko alikochagua ndiko siku moja Mungu atakuadhibu na kukuteketeza, alikuka kukimbia yeye peke yake na mabinti zake wawili tu (baada ya mkewe kugeuka jiwe la chumvi hadi leo lipo),mifugo na vyote viliteketea kule sodoma na gomora.
baada ya kukimbilia mbali na mabinti zake, wao wakasema hapa hatuna uzao, ngoja tumpe kileo baba tufanye naye mapenzi tumzalie kuleta kizazi. wakafanya hivyo, na wakazaa watoto. watoto hao ni WAMIDIAN na WAADOMU, ambao ni makabila yapo around Jordan huko na maeneo ya juu yake, hao ni uzao wa laana na wote unajua kitu gani wanakiabudu.
ukweli ni kwamba, kuanzia Ibrahim hadi leo, vitu vyote ambavyo vimetajwa kwenye Biblia upo ushahidi. hekali kaburi la Absalom mtoto wa Daudi hata ukienda Israel leo utaliona, lipo, sehemu hekalu la suleiman alijenga ipo pale kwenye wailing wall. ila kwa vitabu vingine, yanayokumbukwa ni namna tu walivyochinja watu kuwalazimisha kuamini wanachokiamini ila vitu halisi ni vya kufikirika tu. usifananishe Biblia na vitu visivyo eleweka.
kwani allah hana huruma? huwa hasamehi? yeye ukitenda tu kosa anacho cha kumfanya mtu?
Hana huo ubavu huyo Allah wa kumfanya chochote huyo mchomaji.
Kwanza hayupo kwenye milki yake.
Huyo mchomaji anamungu wake,
Ili Allah amshughulikia huyo mchomaji itampasa apambane na mungu wa huyo mchomaji.
Inaitwa vita ya miungu.
Ni sawasawa na waarabu wakipambanaga na Israel. Inakuwa vita ya Yahweh Vs Allah.
Unafikiri ni rahisi mungu wako kushughulika na watu wenye miungu mingine?
Amechoma kitabu Cha mnyaazi fatwa
Hupatwi na lolote,kama unabisha uje nao tuwe mtu bee tufanye experimentKwanini tuandikie wino uliokuwa ghali na mate ya bure yapo?!!.
Tafuta Qur'an na uichome moto kama alivyofanya huyo jamaa na kipindi unaichoma tia nia ya hayo maneno yako ya; "vita vya miungu", isitoshe tangaza hadharani chochote kitakachokupata kiwe ni ishara kwa watu ili wajue kwamba Qur'an ni kitabu cha Allah Muumba wa mbingu na nchi na kila kilichomo.
Nasema hivi; Ukisalimika basi wewe utakuwa ni Majnuun kwani Allah hawezi kumuadhibu mtu "majnuun" kwani mtu huyo anaoudhuru wa kutokuadhibiwa.
Kwanini wewe usijibu nukta moja baada ya nyingine kutupa faida sisi wasomaji?Ngoja nikusaidie kuhusu mtu huyo anaye weka hizo anazo dai ni "Contradictions".
Huyo mtu nilishawahi kumwambia aweke aya moja au mbili mbili anazo ona zina contradictions kisha tujadili kimoja baada ya kimoja, hili jambo hakufanya na alikimbia, sababu hana alijualo katika Qur'aan. Kuna siku akajidai kuleta nakala ya Yusuf Ali nikamkosoa akakimbia na kudai kitabu hicho anacho kwa masikitiko makubwa inaonekana hajakisoma.
Shida humu watu si wa kweli na wapo kwa ajili ya ubishani na kuwapotezea watu muda. Unaweza kumjibu mtu leo jambo fulani na ukambana akakosa hoja na kukimbia lakini mtu huyo huyo akarudia kitu hicho hicho kwa mtu mwingine. Sasa watu wa hivi si wa kijadiliana nao sababu hawako kielimu wengi wenye tabia hii ni Wakristo na Wakana Mungu.
Sasa huyo kama anataka kweli mjadala, mwambie aweke nukta moja baada ya nyingine kisha ijadiliwe, kisha baada ya hiyo iwekwe nyingine, huu mtindo anao weka huku hajui anachokiweka inaonyesha akili hana na anapotezea watu muda.
Mimi siwezi kujadiliana nae sababu shughuli yangu anaijua na ana dai ameniweka kwenye "Ignoring list". Sasa wewe nenda nae hivyo na umpe masharti ya kimjadala hakika hawezi kutetea hata kimoja katika hizo anazo dai ni "Contradictions".
Sasa Hawa watu wanatakiwa kujua ya kuwa elimu ni amana na kawaida amana hurudishwa kwa watu wake.
Quran imeandikwa na watu ambao hata hawakumwona Mohammad, ilikuwa masimulizi tu, huko naamini wahuni waliandika na vya kwao.Biblia siyo kitabu Cha kuaminiwa kutokana na namna maandiko yake yalivyo pokewa na kuandika.
Nini maana ya Nabii, tuanzie hapa. Kwenye Biblia Luti ameongelewa wapi na wapi na alikuwa anafanya kazi gani ?
Kutokuficha mambo si hoja ya kuwa ni sahihi sababu kimeandikwa na watu ambao hawakuwaona hao watu na hawana Chain inayo fika hao watu. Mfano Marko na Luka Hawa hawakumuona Yesu wala hakuna Chain ya upokezi wa habari inayofika kwa Yesu Toka kwao, vipi habari zao mnaziamini na habari za Yesu walizopata wapi ? Ushawahi kuniuliza hili swali ?
Kwa mujibu wa Biblia Nabii ni nani ? Ili tujue Luti ni nabii au siyo nabii ?
Hii aya yako naomba uithibitishe kwa mujibu wa maandiko yenu na Qur'aan, kisha onyesha wapi Allah ameruhusu dhambi na utuonyeshe Mtume wapi alifanya dhambi.
Nakupuuza sababu wewe mpumbavu,Kwanini tuiamini Biblia wakati imeandikwa kipindi ambacho Yesu hayupo...?
Lengo si nyinyi wasomaji, lengo ni yeye kwanza kumuonyesha uongo wake na kuwa na adabu na Elimu. Sababu ile imekuwa ndiyo tabia yake ya kuweka mambo ambayo hawezi kuyaelea.Kwanini wewe usijibu nukta moja baada ya nyingine kutupa faida sisi wasomaji?
Muhammad alikuwa Mtume na ni Nabii, walio andika Biblia hawakuwa mitume wala hawakuwa manabii wala hawakuwa wanafunzi wa Yesu.Nakupuuza sababu wewe mpumbavu,
Muhammad kaandika kitabu kizima character wote hawapo aliwazaje?
Nimecheka sana, kwanini hamsomi vijana ? Mtume amekufa tayari Qur'aan imekamilika na imehifadhiwa kwa maandishi na imehifadhiwa kwenye vifua vya watu.Quran imeandikwa na watu ambao hata hawakumwona Mohammad, ilikuwa masimulizi tu, huko naamini wahuni waliandika na vya kwao.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app