Biblia pekee ndio kitabu chenye Maneno ya Mungu wa kweli. labda nikusaidie tu, Lutu alikuwa mpwa wa Ibrahim, Ibrahim alimlea na kufanikiwa kuwa na wanyama wengi sana, kwani watu hawa walikuwa wafugaji. wala hakuwa nabii, alikuwa mtu tu na alipona mengi kwasababu ya Ibrahim. kuna kipindi baada ya utajiri wa mifugo kuwa mkubwa, maeneo ya kuchunga yakawa machache, wafugaji wa mfugo ya Ibrahim wakawa wanagombana na wafugaji wa mifugo ya Lutu, ndipo Ibrahim akamwambia Lutu kwamba achague bonde analotaka aelekee ili kuamua ugomvi huo, Lutu akachagua bonde lililokuwa limenona sana lenye maji na utajiri wa nyasi, lilikuwa bonde la sodoma na gomora. Ibrahim akabaki bonde lingine. hakujua kuwa huko alikochagua ndiko siku moja Mungu atakuadhibu na kukuteketeza, alikuka kukimbia yeye peke yake na mabinti zake wawili tu (baada ya mkewe kugeuka jiwe la chumvi hadi leo lipo),mifugo na vyote viliteketea kule sodoma na gomora.
baada ya kukimbilia mbali na mabinti zake, wao wakasema hapa hatuna uzao, ngoja tumpe kileo baba tufanye naye mapenzi tumzalie kuleta kizazi. wakafanya hivyo, na wakazaa watoto. watoto hao ni WAMIDIAN na WAADOMU, ambao ni makabila yapo around Jordan huko na maeneo ya juu yake, hao ni uzao wa laana na wote unajua kitu gani wanakiabudu.
ukweli ni kwamba, kuanzia Ibrahim hadi leo, vitu vyote ambavyo vimetajwa kwenye Biblia upo ushahidi. hekali kaburi la Absalom mtoto wa Daudi hata ukienda Israel leo utaliona, lipo, sehemu hekalu la suleiman alijenga ipo pale kwenye wailing wall. ila kwa vitabu vingine, yanayokumbukwa ni namna tu walivyochinja watu kuwalazimisha kuamini wanachokiamini ila vitu halisi ni vya kufikirika tu. usifananishe Biblia na vitu visivyo eleweka.