Mkuu,Vitabu vya dini zote mbili vilitungwa na watu wahuni kwa malengo yao.
Tatizo tuna pangiana unataka nijithibitishie niniUsinithibitishie mimi tu, thibitisha hata kwako mwenyewe na kwa dunia nzima kwamba unachoamini ni kweli.
Kwa sababu unaweza kuwa unaamini uongo.
Thibitisha ili utenganishe ukweli na uongo.
Walipata walichostahili Kutoka kwa nani?Kuna watu wamefanya laaana zaidi ya hiyo ila ulipofika mda wao walipata walicho stahili .
Magaidi wataenda Kumtetea Alah?Very soon !! Utasikia watu fulani magaidi ngoja tuone..
Kumbe Your God is mercifull and forgiver...Watu wanafanya madhambi hapa duniani wangekuwa wanafarakishwa hapo hapo ,Tambua Kuna kuomba msamaha na kurejea sio kila hukumu ni hapo kwa hapo.
Our God is merciful and forgiver.
Kwa hiyo kwenye hili la huyu jamaa aliyechoma Quran, Alah atajitetea mwenyewe au ni nyie wanadamu mtatafuta namna ya kulipiza kisasi ili kumtetea Alah?Kwa hiyo afanye vile utakavyo halafu abaki kuwa Allah? Akili ya wapi hii?
Mkuu,Tatizo tuna pangiana unataka nijithibitishie nini
Nilikuhoji?
Nilikulalamikia?
Una nidai?
Just relax
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kupanic kwa kureact ni kawaida sio kinyonge ..Uliona wapi mbona watu wanaandamana kisa mambo ya siasa.Kumbe Your God is mercifull and forgiver...
Kama mnajua hivyo, mbona huwa mnapaniki na kutaka kuwaua watu wanaochoma kitabu chenu?
Hiyo kazi ya kuhubiri alitupa sisi tuifanye,Yehova hawezi kujihubiria!!?..why mnapayuka hadharani Domo Pana na mijasho badala yeye mwenyewe ahubiri huko aliko tumsikie!!
Tatizo lenu mnaangalia action ya mwisho tu unaweza kutusaidia hao walio kua wanachoma mas haf mpaka wanavamiwa na kupigwa walikusudia niniKumbe Your God is mercifull and forgiver...
Kama mnajua hivyo, mbona huwa mnapaniki na kutaka kuwaua watu wanaochoma kitabu chenu?
Kwa hiyo huwa mnapanic na kureact ili kumtetea Mungu wenu?Kupanic kwa kureact ni kawaida sio kinyonge ..Uliona wapi mbona watu wanaandamana kisa mambo ya siasa.
Jibu lip🤣🤣 swali lip?Usipanic, jibu nilichokuuliza.
Hao Magaidi wataenda kumtetea Alah au watafanyaje?
Mungu yupi unayemjua 🤣🤣.Kwa hiyo huwa mnapanic na kureact ili kumtetea Mungu wenu?
Nimekuuliza hiviii...Tatizo lenu mnaangalia action ya mwisho tu unaweza kutusaidia hao walio kua wanachoma mas haf mpaka wanavamiwa na kupigwa walikusudia nini
Kila kitu hua na chanzo na chanzo ndio ugomvi wenyewe unao sababisha matokeo aidha yawe makubwa au madogo kwa wahusika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapa nimeongea na popomaNimekuuliza hiviii...
Kama mnajua kuwa mungu wenu ni merciful na forgiver, mbona huwa mnapaniki na kutaka kuwaua watu wanaochoma kitabu chenu?
Kwa nini musimuachie huyo mungu wenu akafanya hiyo MERCY AND FORGIVENESS?
Usijichekeleshe-chekeleshe... wa kiume wewe ujue!!!Mungu yupi unayemjua [emoji1787][emoji1787].
Dogo punguza shobo!!
Wewe mwepesi sana wa huu mjadala... Wasalimie uendako.
Kuna Islam aliyemsema Yesu ni kafiri kweli?Inauma mnamsemaga Yesu ni kafiri na pia mnatusemaga sana sisi na dini yeti how do you feel Mungu yupo upande wetu na usiseme kiwa makini nimimi nimetoa video kuwa makini wewe