Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu,Vitabu vya dini zote mbili vilitungwa na watu wahuni kwa malengo yao.
Kwa nini ukweli huu ambao ni rahisi sana kuujua, kuna watu wanapata tabu sana kuuelewa au kuukubali?
Ni ujinga kwamba watu hawajasoma sana?
Au ni ubishi tu watu washazoea sana hizo dini wameamua kuzitetea tu kwa identity politics na cognitibe dissonance hata wakijua jwamba hapa kwa kweli tumepigwa changa la macho, lakini ndiyo team yetu hii inabidi tui support hata ikifungwa, madamu timu yetu ndiyo hii?
Yani timu inashushwa mpaka daraja la tano mtu kaing'ang'ania tu kwa sababu ya historia tu!