Quran yachomwa moto Sweden

Quran yachomwa moto Sweden

Kuna waislamu fulani walikuwa wakinihubiria kwamba ukichoma Moto au kukojolea Quran lazima utapata pigo la kimuujiza kutoka kwa Mungu Allah papo hapo,mpaka wakaenda mbali,wakanisimulia Kuna kijana alikojolea Quran dushe likawa refu Kama nyoka Hadi kupelekea kushindwa kuvaa suruali,ukawa mwendo wa kuvaa msuli tu.

Huyo jamaa Nini kimemtokea baada ya kuchoma Moto?
 
Huyo jamaa ni mwehu tu, amesahau kilichowakuta wale wachora vikatuni kule Ufaransa, atavuna alichopanda.
Sasa Kama kitu kunaweza kuchomwa moto basi kitu hicho hakina maana. SI ajabu walimpiga biti Kama atakuchoma moto akaweuka ama hakitaungua ndiyo maana unaona anajaribu kuwaonesha namna kinavyoungua huku watazamaji wakifurahia.
 
Very soon !! Utasikia watu fulani magaidi ngoja tuone..
 
Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki.

Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden

Basi hapo waislamu wanamind kinoma! Hicho ni kitabu tu! Au Koroani ndio Allah mwenyewe?
 
Wapigwe tuu! Huu ujinga sio wa kuulea japo sio imani yangu.
 
Allah kashindwa kuzuia kitabu chake kisichomwe moto?

Kashindwa kushusha hata karadi ka ghafla tu kamchape huyo jamaa aliyechoma moto palepale alipoanza kuichoma moto Quran tu?

Halafu dunia nzima ishuhudie Allah yupo kashusha radi kumchapa huyu mtu sekunde ile ile alipotaka kuichoma moto Quran, afe huyo mtu bila Quran kuungua, tujue Allah yupo kweli?

Huyu Allah mbona anategemea watu kama vile hayupo?

Yupo kweli huyu au watu wamemtunga tu?
 
Allah kashindwa kuzuia kitabu chake kisichomwe moto?

Kashindwa kushusha hata karadi ka ghafla tu kamchape huyo jamaa aliyechoma moto palepale alipoanza kuichoma moto Quran tu?

Halafu dunia nzima ishuhudie Allah yupo kashusha radi kumchapa huyu mtu sekunde ile ile alipotaka kuichoma moto Quran, afe huyo mtu bula Quran kuungua, tujue Allah yupo kweli?

Huyu Allah mbona anategemea watu kama vile hayupo?

Yupo kweli huyu au watu wamemtunga tu?
Wewe kuku mmoja tu unampangia Mungu cha kufanya kama nani unajiona kichwa kumbe popoma. Aya hivyo vitabu vimechomwa vyote.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Allah kashindwa kuzuia kitabu chake kisichomwe moto?

Kashindwa kushusha hata karadi ka ghafla tu kamchape huyo jamaa aliyechoma moto palepale alipoanza kuichoma moto Quran tu?

Halafu dunia nzima ishuhudie Allah yupo kashusha radi kumchapa huyu mtu sekunde ile ile alipotaka kuichoma moto Quran, afe huyo mtu bula Quran kuungua, tujue Allah yupo kweli?

Huyu Allah mbona anategemea watu kama vile hayupo?

Yupo kweli huyu au watu wamemtunga tu?
"Bula" lugha gani umeiandika hapo ?
 
Back
Top Bottom