Yaani hizo nyimbo 10 tu ndio zilibamba kwa MUDA WOTE?Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe
1. Dilemma-Nelly ft Kelly
2.Make it rain-fat joe
3.In da club-50cent
4.Ineed a girl -p diddy
5.Always on time- ja rule
6.Neyo-miss independent
7.shaggy-strength of a woman
8.T.I-live your life
9.Mary J. Blige-family affair
10.Nas-i can
Hiz nyimbo mpaka leo sehemu nyingi bado zinapigwa sana na hata vijana wa karne mpya wanazicheza wakiona ni bora kama zimetoka juzi
11. East Coast – Hii leoOndoa neno Tanzania weka Marekani..
Kwa Tanzania BAADHI ni hizi:
RnB:
1. Wakali Kwanza - Natamani
2. Rama Dee - Kikao cha Family
3. J.I - Kidato Kimoja
4. Pasha - Soo
5. Mapacha ft Rama Dee - Kuwa na Subira
6. 2Berry ft Shriko - Na Wewe
7. Abby Skillz - Maria
8. Alicom ft Mishi - Selina
9. Bele 9 - Sumu ya Penzi
10. Alikiba - MacMuga
HipHop:
1. Prof. Jay ft. Ferooz- Nikusaidieje & Starehe
2. Fid Q - Mwanza & Agosti 13
3. Afande Sele/Watupori - Darubini Kali & Dunia ina Mambo
4. Mwana Fa - Bado NipoNipo & Unanitega
5. Jay Mo - Stori 3 & KimyaKimya
6. AY - Usijaribu & I Dont Wanna Be Alone
7. Jafarai - Hawapendi & Niko Busy
8. Joh Makini/Nako2Nako - Hawatuwezi & Mchizi Wangu
9. Madee - Yote Maisha & Pesa
10. Juma Nature - Hakuna Kulala & Iddi
R Kelly umemsahauKwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe
1. Dilemma-Nelly ft Kelly
2.Make it rain-fat joe
3.In da club-50cent
4.Ineed a girl -p diddy
5.Always on time- ja rule
6.Neyo-miss independent
7.shaggy-strength of a woman
8.T.I-live your life
9.Mary J. Blige-family affair
10.Nas-i can
Hiz nyimbo mpaka leo sehemu nyingi bado zinapigwa sana na hata vijana wa karne mpya wanazicheza wakiona ni bora kama zimetoka juzi