aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe
1. Dilemma-Nelly ft Kelly
2.Make it rain-fat joe
3.In da club-50cent
4.Ineed a girl -p diddy
5.Always on time- ja rule
6.Neyo-miss independent
7.shaggy-strength of a woman
8.T.I-live your life
9.Mary J. Blige-family affair
10.Nas-i can
Hiz nyimbo mpaka leo sehemu nyingi bado zinapigwa sana na hata vijana wa karne mpya wanazicheza wakiona ni bora kama zimetoka juzi
1. Dilemma-Nelly ft Kelly
2.Make it rain-fat joe
3.In da club-50cent
4.Ineed a girl -p diddy
5.Always on time- ja rule
6.Neyo-miss independent
7.shaggy-strength of a woman
8.T.I-live your life
9.Mary J. Blige-family affair
10.Nas-i can
Hiz nyimbo mpaka leo sehemu nyingi bado zinapigwa sana na hata vijana wa karne mpya wanazicheza wakiona ni bora kama zimetoka juzi