R&B na Hip Hop zilizotamba kwa muda wote Tanzania

R&B na Hip Hop zilizotamba kwa muda wote Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe
1. Dilemma-Nelly ft Kelly
2.Make it rain-fat joe
3.In da club-50cent
4.Ineed a girl -p diddy
5.Always on time- ja rule
6.Neyo-miss independent
7.shaggy-strength of a woman
8.T.I-live your life
9.Mary J. Blige-family affair
10.Nas-i can

Hiz nyimbo mpaka leo sehemu nyingi bado zinapigwa sana na hata vijana wa karne mpya wanazicheza wakiona ni bora kama zimetoka juzi
 
Yaani hizo nyimbo 10 tu ndio zilibamba kwa MUDA WOTE?
 
Ondoa neno Tanzania weka Marekani..

Kwa Tanzania BAADHI ni hizi:

RnB:

1. Wakali Kwanza - Natamani

2. Rama Dee - Kikao cha Family

3. J.I - Kidato Kimoja

4. Pasha - Soo

5. Mapacha ft Rama Dee - Kuwa na Subira

6. 2Berry ft Shriko - Na Wewe

7. Abby Skillz - Maria

8. Alicom ft Mishi - Selina

9. Bele 9 - Sumu ya Penzi

10. Alikiba - MacMuga

HipHop:

1. Prof. Jay ft. Ferooz- Nikusaidieje & Starehe

2. Fid Q - Mwanza & Agosti 13

3. Afande Sele/Watupori - Darubini Kali & Dunia ina Mambo

4. Mwana Fa - Bado NipoNipo & Unanitega

5. Jay Mo - Stori 3 & KimyaKimya

6. AY - Usijaribu & I Dont Wanna Be Alone

7. Jafarai - Hawapendi & Niko Busy

8. Joh Makini/Nako2Nako - Hawatuwezi & Mchizi Wangu

9. Madee - Yote Maisha & Pesa

10. Juma Nature - Hakuna Kulala & Iddi
 
11. East Coast – Hii leo

12. Mwanafa – Mabinti

13. Prof Jay – Ndiyo Mzee

14. 2 berry – Nataka kuwa na wewe
 
Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe
1. Dilemma-Nelly ft Kelly
2.Make it rain-fat joe
3.In da club-50cent
4.Ineed a girl -p diddy
5.Always on time- ja rule
6.Neyo-miss independent
7.shaggy-strength of a woman
8.T.I-live your life
9.Mary J. Blige-family affair
10.Nas-i can

Hiz nyimbo mpaka leo sehemu nyingi bado zinapigwa sana na hata vijana wa karne mpya wanazicheza wakiona ni bora kama zimetoka juzi
R Kelly umemsahau
Boyz ll Men
 
Juzi nilimkuta bodaboda anasikiliza Still Dre nikashangaa sana maana naona wao wamezoea kupiga singeli tu.
 
2005 - 2010 (No particular order)

Hip Hop

1. Make it rain - Joe Crack + Weezy
2. A milli - Weezy
3. All the above - Maino
4. Sweetest girl - Wycliff
5. My life - Game
6. All I do is win - Khalid & the gang
7. Live your life - TIP
8. Run this town - Jigga, Kanye & Riri
9. Lollipop - Weezy
10. Kiss me through the phone - Soulja

PS: Weezy aliwaua sana rappers hapo katikati

Pop and RnB

1. No air - Sparks
2. Kiss Kiss - Breezy
3. Touch my body - Mariah
4. Real love - Massari
5. Love in this club - Usher
6. Baby - Bieber
7. Lonely- Akon
8. Don’t matter - Akon
9. Umbrella - Riri
10. Irreplaceable - Mama Ivy

Tulikuwa tunahakikisha tunaangalia Top Ten ya East Africa TV kabla tulale.
 
Back
Top Bottom