R. Kelly alificha historia yake mbaya isijulikane, Mahakama yaambiwa

Wazungu walimshindwaga 2pac tu,watu weusi nchini Marekani wanapitiaga shida ya ubaguzi sana na ndiyo maana nao wanakuaga kama vichaa tu muda wote,ila kama kelly kafanyta hili kweli acha Mungu pekee amuhukumu
Walimshindwa vipi wakati naye alifungwa? Au hujui kwamba muda wote aliokuwa yuko Deathrow alikuwa yuko nje kwa dhamana? Pia unajua kwamba R Kelly alishawahi kushitakiwa kwa kushiriki mapenzi na minor na akashinda kesi pamoja na kuwepo kwa ushahidi wa video?
 
David chapelle,michale jackson,prince and all alleged ones were all black..dont ever trust THE INDUSTRY ..UNA MENGI YA KIJIFUNZA KUHUSU TASNIA NA WHITE SUPREMACY
 
Uwongo wa wazungu mfyuuu[emoji57][emoji57]

Yanatamani hata yamfunge miaka sitini
Juzi Kati Kuna video imetrend anaenjoy na washkaji jela basi wazungu wamemiiiind kama nini duuuh[emoji848]

Haya majamaa ukiyagusa kwenye anga zao huwa yanatamani ufe kabisa,dizaini ya kina bob marley na kina pac
 
Wabongo ukosefu wa elimu unatufanya tutie aibu mitandaoni. Yaani wewe uko Mbagala kwa Bi.Mkubwa uko ndio unadai R. Kelly kaonewa, wakati uko kwao tu watu weusi wenzie wanamkataa.

Ko kukataliwa na watu weusi ndo ushahidi gani???fatilia mambo kijana sio unarukia rukia vitu kama panzi mjane
 

Devilish
 
Hivi huyu jamaa alikuwa pedophile(mtu mzima anaetamani watoto kingono) kweli au wanamsingizia? Ila design kama naamini hivi

MJ nae alikuwa na case ya aina hiyo ila yule walimsingizia japo again hatujui nyuma ya pazia mambo gani yanaendelea huko Hollywood
 
Wazungu walimshindwaga 2pac tu,watu weusi nchini Marekani wanapitiaga shida ya ubaguzi sana na ndiyo maana nao wanakuaga kama vichaa tu muda wote,ila kama kelly kafanyta hili kweli acha Mungu pekee amuhukumu
Huu si ubaguzi hizi tuhuma alikuwa nazo toka kitambo. Kesi za unyanyasaji wa ngono kwa watoto ni kubwa sana na hazina simile.
Ingekuwa wanabagua Jeffrey Epstein leo hii angekuwa anaendelea kuwala.
Huyu alikuwa mzungu, bilionea ana mingle na wanasiasa, na akina bilgates na prince wa UK lakini hii kesi ilimpeleka korokoroni hadi akajinyonga. Na siyo siku nyingi ni kesi ya miaka ya hivi karibuni.
Ex wake ndo alikuwa anamletea hao underage yeye ndiye ananyea debe kwa sasa.
Mara nyingi tunataka kuficha makosa ya hawa blacks kwa kivuli cha rangi yao.
 
Hizi tuhuma alikuwa nazo toka kitambo yani toka bado yuko hot.
 
David chapelle,michale jackson,prince and all alleged ones were all black..dont ever trust THE INDUSTRY ..UNA MENGI YA KIJIFUNZA KUHUSU TASNIA NA WHITE SUPREMACY
Prince na Dave Chappelle waliwahi kushitakiwa kwa makosa yapi?
 
kwanini wasingemfunga hicho kitambo
Mkuu marekani kama ulitenda kosa huwezi kusema hutochukuliwa hatua labda ufe. Kuna watu walitenda makosa wakiwa miaka 25, wakaja kushtakiwa wakiwa wazee wanasukumwa kwenye viti hata kutembea hawawezi.
Ni muda tu. Huyo Jeffrey Epstein alikuwa tajiri bilionea untouchable, na watu aliowafanyia hivyo wakiwa watoto wengine now wana watoto yaani watu wazima.
Kwani hujawahi sikia rkelly alimuoa aaliyah akiwa underage?
 
Epstein hajajinyonga wewe!...hao aliokuwa anamingle nao ndo wamemzimisha! Usimchezee Microsoft wewe
 
Epstein hajajinyonga wewe!...hao aliokuwa anamingle nao ndo wamemzimisha! Usimchee Microsoft wewe
Yah hata mimi niliwaza hivyo ila nimeongea according to official statement.
Ila kuna jambo la kustaajabisha. Mali zake zote alizidonate overseas kabla ya kifo chake ili waathiriwa wasipate chochote kama fidia.
 
Firii ma son wamemkomalia [emoji21]
 
Uwongo wa wazungu mfyuuu[emoji57][emoji57]

Yanatamani hata yamfunge miaka sitini
Juzi Kati Kuna video imetrend anaenjoy na washkaji jela basi wazungu wamemiiiind kama nini duuuh[emoji848]
Hiyo pia imekuwa ishu. Akaunti yake ya jela ilikuwa na $25K wanataka kuzichukua eti wakalipie madeni huko na wambakizie $500 tu. Wanasema iweje pedophile ale bata jela?

Ma-celebrity weusi inabidi kuwa very careful na mambo yao vinginevyo mwisho wao utakuwa ndo huu huu wa jela na aibu. Waige kwa Michael Jordan, Magic Johnson na wengine wachache πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Jamani kwamba alikua haoni wadada wakubwa au?
 
[emoji3577]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…