Vato
JF-Expert Member
- Feb 15, 2009
- 249
- 139
Walimshindwa vipi wakati naye alifungwa? Au hujui kwamba muda wote aliokuwa yuko Deathrow alikuwa yuko nje kwa dhamana? Pia unajua kwamba R Kelly alishawahi kushitakiwa kwa kushiriki mapenzi na minor na akashinda kesi pamoja na kuwepo kwa ushahidi wa video?
Mfano mwingine Kelly alifunga ndoa na Aaliyah kupindi Aaliyah akiwa under age.
In a whole universe ni Tanzania tu ambapo mtu anaweza kubishia tafiti na hata hard facts kwasababu akili yake inamtuma kuamini vinginevyo..