Walimshindwa vipi wakati naye alifungwa? Au hujui kwamba muda wote aliokuwa yuko Deathrow alikuwa yuko nje kwa dhamana? Pia unajua kwamba R Kelly alishawahi kushitakiwa kwa kushiriki mapenzi na minor na akashinda kesi pamoja na kuwepo kwa ushahidi wa video?