Wabongo hata uwawekee ukweli hapa wataleta mambo yao ya umbea wa illuminati na freemason. Akili ndogo sanaNaomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?
Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa
Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Yes hasa serial killers weng wamekuja kamatwa uzeenNapenda sana channel ya ID. Tena wengi waliofanya makosa miaka ya 70 hadi 90 mwanzoni walikuja kukamatwa baada ya sayansi ya DNA kuanza kutumika. Wenzetu wanatunza vidhibiti kwa miaka mingi sana.
Ndio mseme sasa, zimeanza liniKwani kesi zake zimeanza mwaka huu au mwka jana ?
Bullshit ...That is true huyu jamaa aliwakataa hawa illuminat na aliwaripua live akiwa stejini na walishataka kumuua mara mbili pia R.kelly na Jzee wana bifu la maisha hawajawahi kuelewana maana Jayz kawamaliza ma rapa wote ilr abaki yeye kwa mfano Nas,Dr.Dre,Jahrule,ila kwa R kely alishindwa,kumbuka R kelly kesha koswa kupigwa risasi mara kadhaa akiwa live stejini.
Propanda wakati watu tumeona mpaka tapes?Wewe unaamini hizo propaganda? Au ulikuwepo wakati analawiti?
Another bullshit.Alipewa umaarufu na shetani SAsa akataka kumkimbia shetani, akaliwa kichwa. Hela ya shetani haiendi bure. Upewe kesi, uuliwe, ufungwe. Ukiamua kuwa kwa shetani kaa jumla kama Jay z na mkewe, ukianza mguu ndani mguu nje yaani kwa shetani upo na kwa Mungu upo lazima yakupate yaliyowapata kina bob marley, tupac, big small, kobe bryant, Aaliyah, left eye, dmx, michael jackson, witness houston and more.
Wanamlia timing Justin Bieber.
Deaf world secret behind the scenes.Another bullshit.
Kuishi milele ki maana gani.Kwa hiyo Jay Z n beyonce wataishi milele ?
Akili nyingine bwana zinasikitisha sana.
Tulia IBILISI WEWE siri zako ziwekwe hadharani.Another bullshit.
Yeye ndio devil worshiper anashika vitoto. Acheni conspiracy theories kwani huyo Robert alikuwa na usafi gani yani?Nimesoma mahali, kuna watu wakizungumzia suala la nguli huyu kufungwa jela miaka 30 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo kwa kutumia nguvu ya ushawishi wake.
Kwamba ni jambo liliopangwa kimkakati na hawa devil worshippers kama walivyomfanya Michael Jackson.
Je, kuna mtu ana taarifa kamili kuhusiana na sakata hill?
Hata hivyo ni kama sitarajii sana taarifa nyingi ama uzi huu kuendelea kwa vile nguvu ya hawa jamaa ni kubwa sana na huenda hata humu wamo wengi tu.
Hata hivyo bado naamini kuna watumishi wa Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo wanaweza kuwa wanajua.
Nawakaribisha katika uzi huu
Napenda sana channel ya ID. Tena wengi waliofanya makosa miaka ya 70 hadi 90 mwanzoni walikuja kukamatwa baada ya sayansi ya DNA kuanza kutumika. Wenzetu wanatunza vidhibiti kwa miaka mingi sana.
Hapo unakutana na documentary za kusisimua kama "Ann the honeymoon murder"ID n channel nzuri sanaNapenda sana channel ya ID. Tena wengi waliofanya makosa miaka ya 70 hadi 90 mwanzoni walikuja kukamatwa baada ya sayansi ya DNA kuanza kutumika. Wenzetu wanatunza vidhibiti kwa miaka mingi sana.
Hata wewe ukitaka tape yako ukiwa unakuliwa inawekana wakaitengeneza pia, gombana nao ndio utashangaa tape imetoka wapiPropanda wakati watu tumeona mpaka tapes?
Halafu kuna mijitu humu inamtetea!!! Kuna testimony moja mke wake anaeleza alivyokuwa anamfanyia !!!!! No!!! Alivumilia ikafika mahali ilibidi akimbie nyumba na ndoa.Alikuwa anawafunga mikono na miguu watoto, anawanyamba wa halafu anawakojolea mikojo kichwani. Yule jamaa hafai kabisa. Ukiangalia documentaries za kumuhusu ndio utajua hii Dunia kuna binadamu na watu.
Huyu jamaa alistahili kufungwa mapema zaidi, tena ana bahati kacheleweshwaNaomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?
Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa
Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Jaffery aliyejiua jela unamjua, ni bilionea kwelikweli, aliahtakiwa kwa kesi kama za R Kelly alizotenda 30 years backYes, ila why now? Jina inaacha kuoza kisa mmekorofishana nae?