maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Wabongo hata uwawekee ukweli hapa wataleta mambo yao ya umbea wa illuminati na freemason. Akili ndogo sanaNaomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?
Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa
Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?