R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

Naomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?

Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa

Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Wabongo hata uwawekee ukweli hapa wataleta mambo yao ya umbea wa illuminati na freemason. Akili ndogo sana
 
Napenda sana channel ya ID. Tena wengi waliofanya makosa miaka ya 70 hadi 90 mwanzoni walikuja kukamatwa baada ya sayansi ya DNA kuanza kutumika. Wenzetu wanatunza vidhibiti kwa miaka mingi sana.
Yes hasa serial killers weng wamekuja kamatwa uzeen
 
Yeye itakua kuna masharti alikiuka ya hao Illuminati, kwasababu zamani kwenye hizi kesi zake za ajabu ajabu walikua wanamkingia kifua anatoka easily..
Kwa sasa Drake analawiti vijana wadogo wa kiume “ certified boy lover” ila illuminati wanamprotect, akikiuka maagizo au wakimchoka utaanza sikia skendo zake..
 
That is true huyu jamaa aliwakataa hawa illuminat na aliwaripua live akiwa stejini na walishataka kumuua mara mbili pia R.kelly na Jzee wana bifu la maisha hawajawahi kuelewana maana Jayz kawamaliza ma rapa wote ilr abaki yeye kwa mfano Nas,Dr.Dre,Jahrule,ila kwa R kely alishindwa,kumbuka R kelly kesha koswa kupigwa risasi mara kadhaa akiwa live stejini.
Bullshit ...
 
Alipewa umaarufu na shetani SAsa akataka kumkimbia shetani, akaliwa kichwa. Hela ya shetani haiendi bure. Upewe kesi, uuliwe, ufungwe. Ukiamua kuwa kwa shetani kaa jumla kama Jay z na mkewe, ukianza mguu ndani mguu nje yaani kwa shetani upo na kwa Mungu upo lazima yakupate yaliyowapata kina bob marley, tupac, big small, kobe bryant, Aaliyah, left eye, dmx, michael jackson, witness houston and more.
Wanamlia timing Justin Bieber.
Another bullshit.
 
sio kosa la kelly ni kosa la chama alichokua kajiunga na sheria zake na kutimiza masharti yote hayo yalikua ibada zao na lazima afanye vile lakini alivojifanya tu kugeuka wakamla kisogo wanakulazimisha ufanye ushenzi kulingana na katiba zao halafu wao wanaweka akiba ukija jichetua tu mkono wa sheria unakuangukia yani kama kuku blackmail hivi na wanafufua kesi zote jamaa angebaki chamani nakuendelea kutimiza masharti izo kesi msingekuja kuzisikia, ukiangalia kwa makini lile jiwe la storm is over na vibao vyake vya mwisho mwisho huku jamaa kisaikolojia unamuona kabisa hayuko sawa na body language ya zile video unaona kabisa ana stress the same to wacko jacko aliishi maisha ya shida na mateso mwishoni, mfano wake uoe upewe mke na kila kitu umtegemee baba mkwe halafu eti muachane na mwanae akuachie kila kitu ilo sahau utapukutishwa mpaka boxer. sasa wampaushe apate fame afu ajitoe wamuangalie? haya mambo yanahitaji msaada wa Yesu akutoe huko, r.ip Michael jackson pray for Justine bieber dogo nae yupo mbioni kupotezwa coz kaamua kumrudia Jesus. dunia ina siri nzito kuliko hata tunavyo ichukulia mambo ya ulimwengu wa roho mazito narudia tena pray for justine bieber dogo anapitia mazito.
 
Kwa hiyo Jay Z n beyonce wataishi milele ?

Akili nyingine bwana zinasikitisha sana.
Kuishi milele ki maana gani.
Yeyeto uishi hadi kufa na umaarufu wake na utajiri wake kama ajavunja maagano,
 
Nimesoma mahali, kuna watu wakizungumzia suala la nguli huyu kufungwa jela miaka 30 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo kwa kutumia nguvu ya ushawishi wake.

Kwamba ni jambo liliopangwa kimkakati na hawa devil worshippers kama walivyomfanya Michael Jackson.

Je, kuna mtu ana taarifa kamili kuhusiana na sakata hill?

Hata hivyo ni kama sitarajii sana taarifa nyingi ama uzi huu kuendelea kwa vile nguvu ya hawa jamaa ni kubwa sana na huenda hata humu wamo wengi tu.

Hata hivyo bado naamini kuna watumishi wa Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo wanaweza kuwa wanajua.

Nawakaribisha katika uzi huu
Yeye ndio devil worshiper anashika vitoto. Acheni conspiracy theories kwani huyo Robert alikuwa na usafi gani yani?
 
Dunia Ina wenyewe ukienda kinyume nao lazima wakushughulikie. Huwezi uza wala kununua kama huna chapa yao. Hollywood ya kwao, billboard chart ni ya kwao, awards zote ni za kwao, music industry ni ya kwao, market industry ni ya kwao.
Si kwamba USA Hakuna underground wengi na ni wazuri kuliko waliopo, shughuli kupenya ni lazima usaini mkataba wa kuuza roho yako uwe under umbrella.
 
Napenda sana channel ya ID. Tena wengi waliofanya makosa miaka ya 70 hadi 90 mwanzoni walikuja kukamatwa baada ya sayansi ya DNA kuanza kutumika. Wenzetu wanatunza vidhibiti kwa miaka mingi sana.
Napenda sana channel ya ID. Tena wengi waliofanya makosa miaka ya 70 hadi 90 mwanzoni walikuja kukamatwa baada ya sayansi ya DNA kuanza kutumika. Wenzetu wanatunza vidhibiti kwa miaka mingi sana.
Hapo unakutana na documentary za kusisimua kama "Ann the honeymoon murder"ID n channel nzuri sana
 
Alikuwa anawafunga mikono na miguu watoto, anawanyamba wa halafu anawakojolea mikojo kichwani. Yule jamaa hafai kabisa. Ukiangalia documentaries za kumuhusu ndio utajua hii Dunia kuna binadamu na watu.
 
Halafu kuna mijitu humu inamtetea!!! Kuna testimony moja mke wake anaeleza alivyokuwa anamfanyia !!!!! No!!! Alivumilia ikafika mahali ilibidi akimbie nyumba na ndoa.
 
Naomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?

Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa

Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Huyu jamaa alistahili kufungwa mapema zaidi, tena ana bahati kacheleweshwa
 
Back
Top Bottom