R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

Mjomba vitoto chini ya 20 vitamu nani anataka mabwawa
 
Huyo ni Jeffrey Epstein. Amesababisha Prince Andrew kuvuliwa vyeo vyake vyote kama mtoto wa Malkia wa Uingereza. Uhusiano wake na Bill Gates ndiyo umesababisha Belinda Gates kudivorce na mume wake.
walikuwa wanakula vifanga na bwana bill gates nini?
 
Huu ujinga sijui huwa mnajifunza chuo gani? I can’t believe mtu mwenye sound mind anaweza kuamini Huu upuuzi wa conspiracy theories ulizokuja nazo hapa! Watanzania tunaweza kuwa miongoni kwa watu we bye IQ ndogo sana duniani kwa kuangalia mijadala na reasoning zetu. No wonder tunapenda sana stories za Diamond, Hamonize na Kajala kuliko stories zinazogusa maisha yetu
 

Sababu umejifunga kwenye elimu uliyonayo,usiyoyajua kuhusu ulimwengu ni 99% ujui chochote nje ya ufahamu wako. Hii duniani haijiendei kama mlevi, umewahi sikia kuna Pope yeyeto amewahi jiuzulu, umewahi jiuliza kwann Pope Benedict alijiuzulu aliona nini? Au kwann Hakuna tena wimbo wa corona corona! Au kwann Hilary Clinton kaporwa ushindi wake mara mbili.Au kwann UHURU Kenyatta kaamua kumsapoti Odinga ambae ndie next president.
Dunia uendeshwa na darksiders systems ukienda kinyume nao wanakuondoa kwenye system.
Umewahi jiuliza yule aliyewatoa watu kafara wakigombea mafuta kwann hakuchukuliwa hatua za mauaji.

Inawezekana elimu hii ikawa kubwa kwako, fatilia mambo ya kajala na harmonize haya mengine ni mazito.
 
Mbona kama unatufokea?

Kwani unatulishaga?
 
there might be something behind the scene.
 
Umeongea point sana
 
Justin Bieber nakuonea huruma yule dogo, kukulia mazingira ya dini toka mdogo, na wanasumbuka kumpata,,, sijui mwisho wake ukoje
 
Mnaleta maneno mengi

Wakati jamaa kitambo sana alikuwa

Na hulka ya kuwagegeda watoto wadogo, hiyo ni kama addiction mtu anayo

Ova
Yeah wanasaikolojia wanasema kuna ukweli katika hili
 
Hivi nyie walokole mbona mna akili za kipumbavu?
 
Alikuwa anawafunga mikono na miguu watoto, anawanyamba wa halafu anawakojolea mikojo kichwani. Yule jamaa hafai kabisa. Ukiangalia documentaries za kumuhusu ndio utajua hii Dunia kuna binadamu na watu.

Halaf kuna watu wanasema ooh ni uongo anasingiziwa kisa mweusi
 
Justin Bieber nakuonea huruma yule dogo, kukulia mazingira ya dini toka mdogo, na wanasumbuka kumpata,,, sijui mwisho wake ukoje
Kina nani hao? Tatizo ni pale unaposhiba maharage hapo Majohe sebuleni kwako ukijamba hovyo na kujifanya unamuonea huruma mtu km Bieber! Kwamba wewe una infos na unaijua freemasonry na illuminati kuliko Bieber mwenye washauri kibao gurus wanaojua dunia ilipotoka na inapokwenda!
 
Acheni porojo. Hillary Clinton kapokonywa au kashindwa uchaguzi? Tuondoleeni uzushi wenu wa kifala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…