relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Mjomba vitoto chini ya 20 vitamu nani anataka mabwawaUkiwa mwanamziki basi mademu wanakuja wenyewe. Hili swala la R Kelly kupenda vitoto linaweza kuwa la kiisaikolojia zaidi. Yule kwa umaarufu wake hakuwa na haja ya kutongoza angepata mademu kede kede ila cha kushangaza alikuwa anapenda vitoto. .
Tungekuja Bongo hata kanumba was sleeping with a child Lulu Michael. So sishangai kama alifanya hayo makosa ila kiisaikolojia mwanaume anayependa vitoto wana matatizo. Huku uswazi wako wengi mno unakuta mtu mzima anahangaika na vitoto. Kuna haja ya kuwapatia msaada wa kiisaikolojia. .