R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

Sababu umejifunga kwenye elimu uliyonayo,usiyoyajua kuhusu ulimwengu ni 99% ujui chochote nje ya ufahamu wako. Hii duniani haijiendei kama mlevi, umewahi sikia kuna Pope yeyeto amewahi jiuzulu, umewahi jiuliza kwann Pope Benedict alijiuzulu aliona nini? Au kwann Hakuna tena wimbo wa corona corona! Au kwann Hilary Clinton kaporwa ushindi wake mara mbili.Au kwann UHURU Kenyatta kaamua kumsapoti Odinga ambae ndie next president.
Dunia uendeshwa na darksiders systems ukienda kinyume nao wanakuondoa kwenye system.
Umewahi jiuliza yule aliyewatoa watu kafara wakigombea mafuta kwann hakuchukuliwa hatua za mauaji.

Inawezekana elimu hii ikawa kubwa kwako, fatilia mambo ya kajala na harmonize haya mengine ni mazito.
Kwa taarifa yako Pope Benedict sio Papa wa kwanza kujiuzulu. Kabla yake Mapapa kadhaa washawahi kujiuzulu. Acheni stori zenu za uongo.
 
Ukiwa mwanamziki basi mademu wanakuja wenyewe. Hili swala la R Kelly kupenda vitoto linaweza kuwa la kiisaikolojia zaidi. Yule kwa umaarufu wake hakuwa na haja ya kutongoza angepata mademu kede kede ila cha kushangaza alikuwa anapenda vitoto. .

Tungekuja Bongo hata kanumba was sleeping with a child Lulu Michael. So sishangai kama alifanya hayo makosa ila kiisaikolojia mwanaume anayependa vitoto wana matatizo. Huku uswazi wako wengi mno unakuta mtu mzima anahangaika na vitoto. Kuna haja ya kuwapatia msaada wa kiisaikolojia. .
Vitoto vina kym mnato lazima udate
 
Nimekupa link. Acha uvivu!
Angalia kipindi tangu Pope Gregory hadi benedict imepita miaka mingapi. aliyoyaona Benedict ni mazito kaona asimkufuru Mungu pia ni kinyume na uchaji wake wa Kimungu, kupromote ushoga, utoaji mimba,kwa uchache ni kinyume na mafundisho ya Mungu.
 
Acheni porojo. Hillary Clinton kapokonywa au kashindwa uchaguzi? Tuondoleeni uzushi wenu wa kifala.
Kuna vitu vingi bado hauvijui dogo.

Ni vile tu unapenda kuweka ubishani ili ujitwalie ujiko.

Lakini ukweli ni kwamba wewe bado kinda sana kwenye haya masuala ya kiulimwengu.
 
Angalia kipindi tangu Pope Gregory hadi benedict imepita miaka mingapi. aliyoyaona Benedict ni mazito kaona asimkufuru Mungu pia ni kinyume na uchaji wake wa Kimungu, kupromote ushoga, utoaji mimba,kwa uchache ni kinyume na mafundisho ya Mungu.
Wewe ulisema hakuna Pope aliyewahi kujiuzuru. Nimeonyesha kwamba ulidanganya. Mambo ya muda gani ulipita ni siasa tu.
 
Ukiwa mwanamziki basi mademu wanakuja wenyewe. Hili swala la R Kelly kupenda vitoto linaweza kuwa la kiisaikolojia zaidi. Yule kwa umaarufu wake hakuwa na haja ya kutongoza angepata mademu kede kede ila cha kushangaza alikuwa anapenda vitoto. .

Tungekuja Bongo hata kanumba was sleeping with a child Lulu Michael. So sishangai kama alifanya hayo makosa ila kiisaikolojia mwanaume anayependa vitoto wana matatizo. Huku uswazi wako wengi mno unakuta mtu mzima anahangaika na vitoto. Kuna haja ya kuwapatia msaada wa kiisaikolojia. .
[emoji23][emoji23]eti kuhanga navitoto[emoji119]
 
Utawaweza wabongo kwa conspiracy zao utasikia wazungu hawapendi weusi wakati hata wazungu wengi pia wapo gerezani
Embu wataje hao wazungu wa level ya r kelly waliopo gerezani,iv yule mzungu polisi mineapoliss kama sikosei kipindi cha trump aliyeua hadharani naye amewekwa ndani,na vipi mkongomani aliyepigwa risasi na askari juzi kati?
 
Hawa illuminati,walimsumbua Sana DMX,Tupac walimmaliza wao
 
Embu wataje hao wazungu wa level ya r kelly waliopo gerezani,iv yule mzungu polisi mineapoliss kama sikosei kipindi cha trump aliyeua hadharani naye amewekwa ndani,na vipi mkongomani aliyepigwa risasi na askari juzi kati?
Siku hizi taarifa zote zinapatikana kwa urahisi mitandaoni. Huwa nashindwa kuelewa inakuwaje mtu aongee kitu toka hewani wakati anaweza uka-google tu na ukapata taarifa. Kuna wazungu kibao maarufu wamefungwa kwa makosa kama ya R. Kelly. Huyo polisi unayemtaja alishapelekwa mahakamani na alishafungwa miaka 22. Derek Chauvin sentenced to 22.5 years in death of George Floyd
 
Watu wengine mpaka inachosha kuwaelezea unawaacha tu
Nishagachoka kujibu kila comment mie
 
[emoji23][emoji23]eti kuhanga navitoto[emoji119]
Kuzidiwa na hamu kunakufanya akili inalala. Hata kama huna mtu kuna mwanamke ukimweleza tu ukweli anakusaidia. Kuna wanawake wana huruma sana, sasa kwa nini uhangaike na vitoto? Wanaume wa namna hii hawako sawa kabisa. .
 
Nimesoma mahali, kuna watu wakizungumzia suala la nguli huyu kufungwa jela miaka 30 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo kwa kutumia nguvu ya ushawishi wake.

Kwamba ni jambo liliopangwa kimkakati na hawa devil worshippers kama walivyomfanya Michael Jackson.

Je, kuna mtu ana taarifa kamili kuhusiana na sakata hill?

Hata hivyo ni kama sitarajii sana taarifa nyingi ama uzi huu kuendelea kwa vile nguvu ya hawa jamaa ni kubwa sana na huenda hata humu wamo wengi tu.

Hata hivyo bado naamini kuna watumishi wa Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo wanaweza kuwa wanajua.

Nawakaribisha katika uzi huu
WebSnap for R.jpg
 
Uyu ni Personal Mistakes tu kama wahuni wengine, Wasisingiziwe wajenzi huru. Wale wana ukiwakwaza wanakuondoa tu hawana haja ya kukufunga.
 
Back
Top Bottom