Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeelezwa...
Pamoja na benki hiyo ya Wintrust kutoa pesa zote zilizopo kwenye akaunti ya R Kelly na kubakiza dola 13 ambazo ni sawa na Tsh 29,000
Unakatwaje fedha kwenye account ambayo hujakubaliana na mtu uliyeingia mkataba naye kuhusu umiliki wa account isiyohusika? Nataka kujua tu maana hata kodi ya nyumba wanakata kwenye acc uliyoisajili kwa malipoTatizo la mbele bana huna pa kuficha kitu.. Taarifa zako zote ziko kwenye system watu wanajua kila senti uliyo nayo na umeipataje. Ndio maana unakuta ishu kama za kodi lazma ukikwepa watakudaka tuu na mbaya zaidi wanazama kwenye akaunti wanakomba kila kitu hata uwe na akaunti 5 wanafyeka zotee. Yaani unaweza kulala tajiri kesho ukiingiza kadi kwenye ATM unaambiwa insufficient funds! Na kule ukipigika ndio basi tena hakuna kwa mjomba wala shangazi utapoenda kuchill ni mwendo wa homeless tu
Nimesoma huku nacheka...eti ni mwendo wa homeless tu...hahahhhhTatizo la mbele bana huna pa kuficha kitu.. Taarifa zako zote ziko kwenye system watu wanajua kila senti uliyo nayo na umeipataje. Ndio maana unakuta ishu kama za kodi lazma ukikwepa watakudaka tuu na mbaya zaidi wanazama kwenye akaunti wanakomba kila kitu hata uwe na akaunti 5 wanafyeka zotee. Yaani unaweza kulala tajiri kesho ukiingiza kadi kwenye ATM unaambiwa insufficient funds! Na kule ukipigika ndio basi tena hakuna kwa mjomba wala shangazi utapoenda kuchill ni mwendo wa homeless tu
Alikuwa na nyumba kubwa sana aliyojenga mwenyewe (sio ya kununua)ina maana hajawahi kununua wala kujenga nyumba.
baasi mpuuzi. hata bidhaa zake hakua nazo, biashara? huu pia ni uzembe
U9f 0 aquarium ugh lChicago,USA.
Ukisikia ssiku ya kufa nyani miti yote uteleza ndio haya yanayomkuta mwanamuziki R Kelly.
Mwanamuziki huyo ambaye amepitia kipindi kigumu cha kukabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono amejikuta akibaki bila salio baada ya mdeni wake kukomba kiasi cha dola 154,527 za kimarekani zilizokuwa katika akaunti yake.
Imeelezwa kwamba aliyekuwa baba mwenye nyumba amabpo R Kelly alikuwa akiishi hapoalifungua madai mahakamani baada ya R Kelly kutolipia malimbikizo ya kodi ya nyumba hiyo.
Hukumu iliyotolewa mahakamani iliagiza mwanamuziki hiyo akatwe stahiki zake katika malipo ya kazi zake za muziki au zichukuliwe fedha zilizopo katika akaunti yake.
Pamoja na benki hiyo ya Wintrust kutoa pesa zote zilizopo kwenye akaunti ya R Kelly na kubakiza dola 13 ambazo ni sawa na Tsh 29,000 bado hazijafanikiwa kulipa deni lote.
Mwanamuziki huyo aliyewahi kutamba na nyimbo kali kama vile I BELIEVE,I CAN FLY,THE WORLD'S GREATEST na SOUND OF VICTORY anadaiwa dola 194,000 za pango la nyumba.
Mbali na kesi ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba pia amefunguliwa kesi na mzazi mwenzio kwa kushindwa kutoa pesa za matunzo ya mtoto.
nyumba kubwa sana aliyojenga mwenyewe (sio ya kununua)
Aliijenga mwaka 1997....
Iliuzwa mwishoni baada ya mkasa na kesi yake hiyo akashindwa kulipa mortgage
Sisi Waafrica tunapenda sana kutia huruma kwa upuuzii tunao ufanya tukidhani hamna anaetuona..... Mbona wakina Jay Z, Dr Dre etc hawana case za kijinga kama hizi? Huyu R.Kelly alibaki watoto wadogo... Tuacheni kusingizia wazungu kila kitu japo nao wana mapungufu yao...Ulaya na America pagumu sana black hatupendw sana ukiwini ukiwa na gud life lazima wakutengenezee scenario matata sana wakufilisi hawapend kuona black ni zaid yao