Tetesi: R Kelly sasa ana Tsh 29,000 kwenye akaunti

Tetesi: R Kelly sasa ana Tsh 29,000 kwenye akaunti

this guy wanafanya kila linalowezekana waDestroy his carrier & life. Inahitaji moyo wa chuma kuishi kama r kelly kwa kipindi hiki dah.

r-kelly-cbs.jpg
Sasa kama alijua kuwa atakwenda kulia in Public si angenyoa hiyo O kabisa!!
 
ina maana hajawahi kununua wala kujenga nyumba.

baasi mpuuzi. hata bidhaa zake hakua nazo, biashara? huu pia ni uzembe
Hajui kusoma na kuandika na kasema mwenyewe. Origina masters zake wazungu wamejimilikisha so zilw nyimbo zote alizoimba hakuna hata moja anayomiliki. Makampuni yaliyomsainisha mikataba ndio wamiliki wa hizo nyimbo
 
juz kapata hela shs kama milion hamsin kwenda sitini kwa appearance ya lisaa limoja,
 
l labda makosa ngoja nikasome
Wenzetu huko hata kana umenunua nyumba bado hauimiliki!! Sio kama africa. Kule kuna pesa wailipia hiyo nyumba na ukishindwa wanaibeba. Na ndio maana american dream ni "kumiliki nyumba bila kuilipia pesa" huki africa unalipia kiwanja kodi ya jengo na ni ndogo na sidhani kama inafanya kiwa unamyanganywe nyumba yako.
 
Nafkiri ana mpango wa ku file bankrupt...
Kumbuka hata kule mahakamani alilipiwa child support na mtu asiyejulikana. Nafkiri kuna watu wanamanage mapesa yake, au aliona game akajiandaa kwa haya anayopitia sasa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Kama ambavyo Tyrese aliliaga sikuzile na akafile bankcrupcy ili asilipe ile child support kama sikosei, wajanja sana, R Kelly hawez kuwa na elfu kuminatatu, Chid benz mwenyewe Elfu ishirini anayo pamoja na msoto wote huo
 
Wenzetu huko hata kana umenunua nyumba bado hauimiliki!! Sio kama africa. Kule kuna pesa wailipia hiyo nyumba na ukishindwa wanaibeba. Na ndio maana american dream ni "kumiliki nyumba bila kuilipia pesa" huki africa unalipia kiwanja kodi ya jengo na ni ndogo na sidhani kama inafanya kiwa unamyanganywe nyumba yako.
Nalijua hilo kuwa unachukua mkopo wa hata miaka 25 unalipa
Lakini watu kama hawa wanatengengeneza hela nyingi sana kwa mda mfupi na wana uwezo wa kununua cash
Wengine kama kina Celine Dion alikuwa na kisiwa kabisa na ana chenji imebaki
Ingawa aliiuza na kuchukua hela zake mapema
Kuna watu wananunua cash pia kama unazo na wengine wanachukua kwa mkopo
Haya ni maisha ya kawaida sana
Huko nyumbani ni tofauti sana kwani kunyang'anywa nyumba ni rahisi sana kwa sababu ya biashara zisizokuwa na uhakika na hata kazi za kuungaunga
 
Hawa wahuni wajanja sana, nakumbuka 50 tuliaminishwa kafubaa,[emoji16][emoji16][emoji16].

Saa hizi ananunua gari tatu tatu kila siku.
 
WACHA kutulisha matango pori wewe!

Mortgage inaingiaje kwenye nyumba ya kujenga mwenyewe?

Umesema mara tatu nyumba kajenga mwenyewe!

We vp we diaspora wewe? Jielimisheni mkiwa huko.
Labda kachukua mkopo then kajenga
 
Labda kachukua mkopo then kajenga

sawa kabisa, alipata construction loan

effectively kajengewa na benki

hastahili masifa ya "kajenga nyumba ya vyumba kumi..." ridiculous

peke yake hakuwa na hela ya kujenga wala kununua nyumba
 
Back
Top Bottom